Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Ni huyo huyo roho mtakatifu aliyekuwa anamuongoa nabii Dominik (kiboko ya wachawi) na akapata wafuasi wa kutosha.
Roho wa Mungu hawezi kufanya kazi na Watu wachafu...!

Kila mtu anayo Nguvu ndani yake pale Moyo wake ukiamua...!
Na ukaamua kupita kwenye Kanuni za Mungu, unaweza kuhamisha Mlima, means
-Ukaacha Dhambi.
-Ukawa ni mtu wa kuomba.
-Ukasimama kwenye Njia za Mungu etc.

Sasa Watu hawataki kufata Kanuni, wanataka Shirt cut, ndo wanakutana na Mataperi, ndo wanauziwa Mafuta, ndo wanauziwa Maji etc.

Mungu hana Udalali.
 
Acha io kuna moja mwanzo 38 kuanzia mstari wa 6 MUNGU alimuua mtu kwa kosa la kumwaga nje
 
Hongera sana mkuu, nimekuelewa
 
Wapumbavu kama wewe kwenye nyuzi kama hizi lazima muwepo. Rais anaitwa MamaSamia2025? Mbona wewe ni mjinga kiasi hiki? Huu uzi ni kwa watu wenye akili tu. Haukusu wews.
Mimi ni mpumbavu au mjinga??? Lazima uchague neno moja Kati ya hayo maana mtu mmoja hawezi kuwa mjinga na mpumbavu Kwa pamoja..Au ulisoma kisomo cha ngumbaru ukubwani.??
 
Quran kariim ni fiksi?, kime jaa ukali?,
 
Ukisoma Yohana 1: 1 - 18

Utaona inatoa majibu ya kwamba wakati wa uumbaji wa ulimwengu na vitu vyake, utaona ulimwengu ulifanywa na Mungu baba na mwana, huyu mwana katajwa kama Nuru au Neno aliyekuja kufanyika mwili (Yesu Kristo)...
Yaani una maanisha mungu na yesu ndio waliuumba ulimwengu?
 
Ndugu ATHEIST kichaka ulichojifichia ni kidogo mno na majani yamepukutika yote hivyo tunakuona tunakuchora tu!

Anyway, mimi ni muislamu hayo hayanihusu ngoja ndugu zangu wa baba mmoja waje waseme
 
Biblia huwezi kuisoma kama vitabu vingine ukaielewa. Kuna vitu vinaitwa parables na allegories nyingi kwenye biblia na pia unahitaji neema ya Mungu ikuangazie
 
Say, ˹O Prophet,˺ “Whoever is an enemy of Gabriel should know that he revealed this ˹Quran˺ to your heart by Allah’s Will, confirming what came before it—a guide and good news for the believers.”
Who is an enemy of Gabriel?
And why Quran should be revealed by enemy of Gabriel and not Gabriel himself or alaah?
 
yesu mwenye alikua akiulizwa wewe ni nani..na yeye anauliza kwani nyie mnaniona mimi ni nani..wanamwambia wewe unaonekana ni mwana wa mungu..anawaambia basi siri yenu msimwambie mtu.

basi unaona hovyo kabisa..!!
 
Mkuu halaka sana naomba hamisha mlima kilimanjaro uupeleke sudan wanateseka na joto ukishindwa mwambie mwamposa.
 
Kwenda zako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…