Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Mkuu halaka sana naomba hamisha mlima kilimanjaro uupeleke sudan wanateseka na joto ukishindwa mwambie mwamposa.
Arusha kuja baridi Kali kuliko Moshi, na wakati Mt. Kilimanjaro upo Moshi.
 
Ndivyo Biblia inavyotuonesha...
Wewe bibilia haujui, nita weka ushahidi hapa uta kimbia mwenyewe first of all bibilia ni maneno ya utashi wa Paulo 3 :15 wagalatia, kwa hyo humo kuna full matango pori
 
Wewe bibilia haujui, nita weka ushahidi hapa uta kimbia mwenyewe first of all bibilia ni maneno ya utashi wa Paulo 3 :15 wagalatia, kwa hyo humo kuna full matango pori

Weka hiyo mistari, wangoja nini?
 
Weka hiyo mistari, wangoja nini?
Galatia 3-15...Ndugu zangu,nanena kwa jinsi ya kibinadamu.lijapokuwa ni agano la mwanadamu ,hata hivyo likisha kuthibitika,hakuna mtu alibatilishaye,wala kuliongeza neno.
 
Kwani biblia ina shida tokea lini ?
Shida ya biblia inaanzia hapa:injili ya mathayo ina sura 28,ya yohana ina sura 21,ya luka ina sura 24,ya marko ina sura 16.haya ni ya kuamini ?jibu swali nikupe takataka za hicho kitabu na humu hakuna mkristo anaweza kumshinda ndugu inch 9 kuhusu bible.
 
laleni na hii hapa: Luka 1-1....kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa tararibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,)Haya huyu mwenye kusema hayo ni mwandishi wa biblia anathibitisha kwamba mzigo (Biblia)umetiwa mikono alafu we mkiristo wa mbagala mwanamtoti unajifanya unaijua sana Biblia na kusema hakina shaka sasa kwa maneno haya inatosha kusema Biblia imechakachuliwA na kama imechakachuliwA kinakosa sifa ya kumuongoza mtu.
 
Anza kutwambia huo ukweli wa biblia kwanza.
Ukweli naujua kuwa Biblia ni kitabu cha KIROHO. Sababu zake ni utimizo wa unabii ulioandikwa. Darasa hili ni kubwa. Lakini nimekutaka unipe mbadala wa Biblia.
 
.....pia unahitaji neema ya Mungu ikuangazie
Hii kauli huwa naitilia sanaa mashaka.
1. Nimesoma vitabu kibao kama vya Robert Koyasaki na NIMEVIELEWA
2. Nimesoma kitabu cha dini ya kihindi (Biblia ya Hindu) na nimeielewa.
3. Kwanini Biblia yetu sisi wakristo HUWA UNAJIFICHIA HAPA???

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Shida ya biblia inaanzia hapa:injili ya mathayo ina sura 28,ya yohana ina sura 21,ya luka ina sura 24,ya marko ina sura 16.haya ni ya kuamini ?jibu swali nikupe takataka za hicho kitabu na humu hakuna mkristo anaweza kumshinda ndugu inch 9 kuhusu bible.
Sasa wewe na Muhammad na Allah Nani anajua biblia vizuri kama wewe unajua kuliko Muhammad na Allah basi Waislam wakufuate wewe sio maneno ya Allah na Muhamad kama alivyosema kwenye Quran 10:94
 
Nikusahihishe kidogo,Mungu na shetani hawakukubaliana kwenda kumjaribu ayub,ni shetani alikubaliwa akamjaribu.Nafikir unaelewa tofauti ya kukubaliana na kukubaliwa

Kingine usisome biblia kwa kutumia akili za kidemokrasia,Mungu hana demokrasia.
Ndio maana tunasema yeye ni mkamilifu,maana yake kila anachofanya ni sahihi.
 
Kwanza eleza umma hii aya 3:15 wagalatia
inasemaje ?

Galatia 3-15...Ndugu zangu,nanena kwa jinsi ya kibinadamu.lijapokuwa ni agano la mwanadamu ,hata hivyo likisha kuthibitika,hakuna mtu alibatilishaye,wala kuliongeza neno.

Inahusiana nini na vifungu nilivyonukuu kwenye Biblia huko juu?
 
Sasa wewe na Muhammad na Allah Nani anajua biblia vizuri kama wewe unajua kuliko Muhammad na Allah basi Waislam wakufuate wewe sio maneno ya Allah na Muhamad kama alivyosema kwenye Quran 10:94
Acha kutapatapa wewe soma vizuri ndugu mkristo unajua maana ya humu?najua humu jf wakristo wote ni weupe kwenye kuifahamu bible.
 
Acha kutapatapa wewe soma vizuri ndugu mkristo unajua maana ya humu?najua humu jf wakristo wote ni weupe kwenye kuifahamu bible.
Haujajibu swali kama Quran ya Allah na Mohamad imethibitisha Biblia haina shida yupi yupo sahihi Allah m Mohamad wake au wewe muislam wa Masjid Taqwa?
 
Ukweli naujua kuwa Biblia ni kitabu cha KIROHO. Sababu zake ni utimizo wa unabii ulioandikwa. Darasa hili ni kubwa. Lakini nimekutaka unipe mbadala wa Biblia.
Wewe biblia huijui hakuna kitabu cha kiroho kinatukana manabii wa Mungu,mpaka Mungu mwenyewe anapigwa na kiumbe alichokiumba Mungu katukanwa humo,alafu bado unasema kitabu cha kiroho.
 
Quran kariim ni fiksi?, kime jaa ukali?,
Onyesha huo ufix hapa nami nikuonyeshe ufix wa bible.kaa ukijua Uislamu kama jinsia ni dini yenye maumbile ya Kiume,Ukristo ni dini iliyokaa kikikekike,Uyahudi ni kama wenye jinsia moja.
 
Back
Top Bottom