ndengisivilii
JF-Expert Member
- Jun 21, 2024
- 496
- 570
Kwani biblia ina shida tokea lini ?Anza kutwambia huo ukweli wa biblia kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani biblia ina shida tokea lini ?Anza kutwambia huo ukweli wa biblia kwanza.
Arusha kuja baridi Kali kuliko Moshi, na wakati Mt. Kilimanjaro upo Moshi.Mkuu halaka sana naomba hamisha mlima kilimanjaro uupeleke sudan wanateseka na joto ukishindwa mwambie mwamposa.
Wewe bibilia haujui, nita weka ushahidi hapa uta kimbia mwenyewe first of all bibilia ni maneno ya utashi wa Paulo 3 :15 wagalatia, kwa hyo humo kuna full matango poriNdivyo Biblia inavyotuonesha...
Tokea hapa 3: 15 wagalatiaKwani biblia ina shida tokea lini ?
Wewe bibilia haujui, nita weka ushahidi hapa uta kimbia mwenyewe first of all bibilia ni maneno ya utashi wa Paulo 3 :15 wagalatia, kwa hyo humo kuna full matango pori
Kwanza eleza umma hii aya 3:15 wagalatiaWeka hiyo mistari, wangoja nini?
Galatia 3-15...Ndugu zangu,nanena kwa jinsi ya kibinadamu.lijapokuwa ni agano la mwanadamu ,hata hivyo likisha kuthibitika,hakuna mtu alibatilishaye,wala kuliongeza neno.Weka hiyo mistari, wangoja nini?
Shida ya biblia inaanzia hapa:injili ya mathayo ina sura 28,ya yohana ina sura 21,ya luka ina sura 24,ya marko ina sura 16.haya ni ya kuamini ?jibu swali nikupe takataka za hicho kitabu na humu hakuna mkristo anaweza kumshinda ndugu inch 9 kuhusu bible.Kwani biblia ina shida tokea lini ?
Ukweli naujua kuwa Biblia ni kitabu cha KIROHO. Sababu zake ni utimizo wa unabii ulioandikwa. Darasa hili ni kubwa. Lakini nimekutaka unipe mbadala wa Biblia.Anza kutwambia huo ukweli wa biblia kwanza.
Hii kauli huwa naitilia sanaa mashaka......pia unahitaji neema ya Mungu ikuangazie
Sasa wewe na Muhammad na Allah Nani anajua biblia vizuri kama wewe unajua kuliko Muhammad na Allah basi Waislam wakufuate wewe sio maneno ya Allah na Muhamad kama alivyosema kwenye Quran 10:94Shida ya biblia inaanzia hapa:injili ya mathayo ina sura 28,ya yohana ina sura 21,ya luka ina sura 24,ya marko ina sura 16.haya ni ya kuamini ?jibu swali nikupe takataka za hicho kitabu na humu hakuna mkristo anaweza kumshinda ndugu inch 9 kuhusu bible.
Kwanza eleza umma hii aya 3:15 wagalatia
inasemaje ?
Galatia 3-15...Ndugu zangu,nanena kwa jinsi ya kibinadamu.lijapokuwa ni agano la mwanadamu ,hata hivyo likisha kuthibitika,hakuna mtu alibatilishaye,wala kuliongeza neno.
Acha kutapatapa wewe soma vizuri ndugu mkristo unajua maana ya humu?najua humu jf wakristo wote ni weupe kwenye kuifahamu bible.Sasa wewe na Muhammad na Allah Nani anajua biblia vizuri kama wewe unajua kuliko Muhammad na Allah basi Waislam wakufuate wewe sio maneno ya Allah na Muhamad kama alivyosema kwenye Quran 10:94
Haujajibu swali kama Quran ya Allah na Mohamad imethibitisha Biblia haina shida yupi yupo sahihi Allah m Mohamad wake au wewe muislam wa Masjid Taqwa?Acha kutapatapa wewe soma vizuri ndugu mkristo unajua maana ya humu?najua humu jf wakristo wote ni weupe kwenye kuifahamu bible.
Wewe biblia huijui hakuna kitabu cha kiroho kinatukana manabii wa Mungu,mpaka Mungu mwenyewe anapigwa na kiumbe alichokiumba Mungu katukanwa humo,alafu bado unasema kitabu cha kiroho.Ukweli naujua kuwa Biblia ni kitabu cha KIROHO. Sababu zake ni utimizo wa unabii ulioandikwa. Darasa hili ni kubwa. Lakini nimekutaka unipe mbadala wa Biblia.
Onyesha huo ufix hapa nami nikuonyeshe ufix wa bible.kaa ukijua Uislamu kama jinsia ni dini yenye maumbile ya Kiume,Ukristo ni dini iliyokaa kikikekike,Uyahudi ni kama wenye jinsia moja.Quran kariim ni fiksi?, kime jaa ukali?,