Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Kila uchao mashambulizi yanaelekezwa kwa huyo ndugu J.Makamba..hapa si BURE.....wamejipanga haswa KUMCHAFUA NA KUMSILIBA ANUKE ila jamaa yuko smart mno upstairs....YOYE ATAYASHINDA NA WATAUMBUKA VIBAYA SANA......Habebeki.
Tarnishing of the image....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamaaaannnChadema mmeanza kuwaandama CCM na mavideo yenu duuuuuuuuuuuuuuu makambà huko uliko imesikia mi siongezi kitu ila Napa ndisha sauti ya redio yangu hello mr.smart have you heard a certain creature dusting your credibility here please come and scold him a heavy scolding on his foreface so as he to be an exemplary to others to stop chewing your name and pour the sour saliva,I sink you understandingiiiiii, ok sank you!!!
Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavuNaona mzee umepewa kitengo nyeti cha kumkinga Janu na udhaifu wake.
Hongera sana, unakitendea haki!
Kama wewe mwenyewe unadai iundwe e tume that means huna ushahidi kwa nini unamuita mwizi na mpiga dili?
Shwaini kabisa
If it's not a mere thinking ,bring forth your proof that he's involved in the CULPRIT.....Defend his image with facts if you think he is being tarnished!!
Why wamshambulie? Ukisema wana chuki naye bado naona siyo sababu.Kila uchao mashambulizi yanaelekezwa kwa huyo ndugu J.Makamba..hapa si BURE.....wamejipanga haswa KUMCHAFUA NA KUMSILIBA ANUKE ila jamaa yuko smart mno upstairs....YOYE ATAYASHINDA NA WATAUMBUKA VIBAYA SANA......
#Siempre JMT🙏
Dogo mbona maneno mengi sana?Wewe endelea kula salary tu ila ukisikia umekata ghafla…ujue boss wako yuko lupango
Sipo humu kumkingia kifua mtu ! Kama ana makosa nae ntampa makavu
Sipendi sana mtu kuonewa kwa sababu ya chuki na uzandiki tu!
Mnachofanya sukuma gang ni kuzidi kutuonesha kuwa kwa namna gani tulikosea nyie kuwa na madaraka nchini
Mmejaa chuki, wivu, roho mbaya na uzandiki! Badilikeni maana mnazidi kujidhalilisha kwa Jinsi mnavyomuandama mtu ambaye hana makosa yeyote!
Link ya nini boss?Naomba uweke link tafadhali.
Kama huna chuki nae tupe uthibitisho wa hizo tuhuma mnazomzushiaWhy wamshambulie? Ukisema wana chuki naye bado naona siyo sababu.
Boss wangu kivipi?Mwambie boss wako ajibu hoja tafadhali…
Si yuko smart azijibu shutuma basi
Amchunge kwa maneno ya kutunga yanayozushwa na watu waliojaa chuki tu na roho mbaya sukuma gang?Aiseee, ila haya maneno si ya kupuuza aisee, Mh. Rais amchunge sana January kiukweli
If it's not a mere thinking ,bring forth your proof that he's involved in the CULPRIT.....
Sababu za kumshambulia zinajulikana.......Why wamshambulie? Ukisema wana chuki naye bado naona siyo sababu.
Huyu mwamba kanichekesha kichiz. Nimemaliza kudeliver msosi kwa mteja sasa nimerudi kwenye kababy walker kangu nimekaa navizia shift nyingine kuingia JF nakutana na hii video. Nimecheka kichiz hspo kwa Steve Nyerere. Dah this dude made my night.Something is not right, s'thing is quite wrong mazee..
Wakuu siongezi kitu, tumsikilize mwamba hapa..!!!
View attachment 2183141
Huna ushahidi wa huo UCHAFU umebakia kubweka tu......Andika Kiswahili wewe kifuu " involved in the CULPRIT .." ndiyo unasema nini? Hawa wahuni hawasafishiki mwisho wake watamchafua na huyo anayewakumbatia!!!
Boss wangu kivipi?
Ajibu tuhuma zipi zisizo na ushahidi?