inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wataliano walidocument Sana Hilo tukioreport nyengine zinazungumza more than 20,000.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataliano walidocument Sana Hilo tukioreport nyengine zinazungumza more than 20,000.
Mkuu ni kweli nimejitahidi kusoma na exposure juu ndio maana nashangaa colored video Znz mwaka 1964 ama ni edited from analogy!mbona kama umesoma[emoji13][emoji13] au shule ajakusaidia?
Vyote viwili mkuu.hapo unauliza swali au unashangaa
Okay. Now you are talking!!hayo matukio unayoyaona hapo siyo ya siku ya mapinduzi, hiyo video ilirekodiwa wiki moja baada ya mapinduzi. kwahiyo mauaji yalikua ya kiendelea hata baada ya mapinduzi kuisha.
hayo ni mawazo yako mgandoMasimulizi yoyote ya Fujo za zanzibar yasiyompa heshima J, OKELO ni batili.
Wazee wenu wame turn upside down history ya Fujo hizo ili kuunda history bandia kwa manufaa yao.
Hii video iliishaletwa humu kitambo na ikachambuliwa na ku sasambuliwa, ndipo ikawa discredited kuwa it's fake!.Video fake uliitengeneza wewe ??? wapi ?? au kwa sababu hakuna mnyamwezi aliyeuwawa ??
Hii video iliishaletwa humu kitambo na ikachambuliwa na ku sasambuliwa, ndipo ikawa discredited kuwa it's fake!.
Who would dare take such a risky fly chopper amid revolution?.
In revolution chaos who would have time to dig mass graves?.
Colour movie in 1964!.
Usichokijua kuhusu Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, wahanga sio Waarabu pekee, pia kuna wamatumbi!.
P
Umesahau na chama tukufuMapinduzi matukufu, Ikulu tukufu, Bunge tukufu, katiba tukufu !!!
Kwani tukufu ina maana gani?
Kilichotokea it's what goes around, comes around. Kabla ya uvamizi wa Waarabu wa Oman kwenye visiwa vyetu, familia ya watawala walikuwa ni ukoo wa Mwinyimkuu, jee unajua Waarabu wavamizi hao, waliwafanya nini hadi ukoo mzima wa Mwinyimkuu ukafutika kwenye uso wa dunia na wao kujitwalia visiwa hivyo as if wameviokota vilikuwa havina mwenyewe?. It was genocide!.Mwaka 1964 kilichotokea Zanzibar ni genocide. Ni mauaji ya halaiki
Inasikitisha sana.
Mmatumbi yupi , hebu tuwekee jina moja tuHii video iliishaletwa humu kitambo na ikachambuliwa na ku sasambuliwa, ndipo ikawa discredited kuwa it's fake!.
Who would dare take such a risky fly chopper amid revolution?.
In revolution chaos who would have time to dig mass graves?.
Colour movie in 1964!.
Usichokijua kuhusu Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, wahanga sio Waarabu pekee, pia kuna wamatumbi!.
P
Waraabu walipovamia Znz waliua Waafrika wengi sana wakati wa utumwa. Hivyo kama waliuwawa wakati wa mapinduzi matukufu ni sawa tu. Ukoo wa wenyeji wa Znz wako wapi?Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.
Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.
Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.
Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.
Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.
Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.
Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!
Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?
Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.
Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:
View attachment 2481240
Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikiziwa kesi yoyoteWaraabu walipovalia Znz waliua Waafrika wengi sana wakati wa utumwa. Hivyo kama waliuwawa wakati wa mapinduzi matukufu ni sawa tu. Ukoo wa wenyeji wa Znz wako wapi?
Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikiziwa kesi yoyotesina chuki na watu wowote ila ukiangalia historia waafrika waliuwawa kwa wingi sana hiyo idadi ya 13000 u aweza zidisha hata mara 1000 wakati wa utumwa, sasa kuua waarabu kidogo tu mnalalamika.
fuatilia historia ya utumwa ndio utajua mabaki ya mizoga ya watu waliozagaa kwenye fukwe ya bahari hapo zenji kutokana na kufa wakati wa kuja utumwani
Wewe hujui historia ya utumwa Znz? Au wewe umetuwekea jina hapa? Acha ubishi usiokuwa na maana. Kama unaumia sana hao waarabu kuuwawa hamia Oman. Mimi ningekuwepo ningeua zaidi ya hao kulipiza kisasi cha kuua waafrika wenzetu.Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikizåiwa kesi yoyote
Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwaWewe hujui historia ya utumwa Znz? Au wewe umetuwekea jina hapa? Acha ubishi usiokuwa na maana.
Wewe umeweka jina la hao waoman ndugu zako waliouwawa siku ya mapinduzi matukufu?Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa