Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

mbona kama umesoma[emoji13][emoji13] au shule ajakusaidia?
Mkuu ni kweli nimejitahidi kusoma na exposure juu ndio maana nashangaa colored video Znz mwaka 1964 ama ni edited from analogy!
 
hayo matukio unayoyaona hapo siyo ya siku ya mapinduzi, hiyo video ilirekodiwa wiki moja baada ya mapinduzi. kwahiyo mauaji yalikua ya kiendelea hata baada ya mapinduzi kuisha.
Okay. Now you are talking!!
 
Video fake uliitengeneza wewe ??? wapi ?? au kwa sababu hakuna mnyamwezi aliyeuwawa ??
Hii video iliishaletwa humu kitambo na ikachambuliwa na ku sasambuliwa, ndipo ikawa discredited kuwa it's fake!.

Who would dare take such a risky fly chopper amid revolution?.

In revolution chaos who would have time to dig mass graves?.

Colour movie in 1964!.

Usichokijua kuhusu Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, wahanga sio Waarabu pekee, pia kuna wamatumbi!.
P
 
Unaposhangaa kuwa kulikuwa na color movies in 1964 imeonyesha dhahiri unabisha for the sake ya kubisha. Ngoja nikuwekee color video za kabla ya 1964

Umemuona hapa Nyerere yupo Whitehouse mwaka 1963, hii ni colored video au siyo colored?

Mwaka 1964 kilichotokea Zanzibar ni genocide. Ni mauaji ya halaiki
Inasikitisha sana.
Kilichotokea it's what goes around, comes around. Kabla ya uvamizi wa Waarabu wa Oman kwenye visiwa vyetu, familia ya watawala walikuwa ni ukoo wa Mwinyimkuu, jee unajua Waarabu wavamizi hao, waliwafanya nini hadi ukoo mzima wa Mwinyimkuu ukafutika kwenye uso wa dunia na wao kujitwalia visiwa hivyo as if wameviokota vilikuwa havina mwenyewe?. It was genocide!.

Tena afadhali hata ya Mjerumani alipoitwa Tanganyika, Karl Peters aliwasainisha kina Sultan Mangugo mikataba kwenye lugha ya kijerumani hivyo mababu zetu hawakujua wana saini nini, hizo documents ndizo wakaziwasilisha kwenye mikutano wa Berlin wa 1884, kule Sultan of Zanzibar alituma uwakilishi na kueleza eneo lote la Pwani ya East Africa from Sofala to Lamu ni milki yake!, kumbe ni mvamizi tuu!.

What goes around, comes around!.
P
 
Hii video iliishaletwa humu kitambo na ikachambuliwa na ku sasambuliwa, ndipo ikawa discredited kuwa it's fake!.

Who would dare take such a risky fly chopper amid revolution?.

In revolution chaos who would have time to dig mass graves?.

Colour movie in 1964!.

Usichokijua kuhusu Mapinduzi yale Matukufu ya Zanzibar, wahanga sio Waarabu pekee, pia kuna wamatumbi!.
P
Mmatumbi yupi , hebu tuwekee jina moja tu
Risky si kwa Mzungu . Hakuna hata Mzungu mmoja aliyeguswa , na walikuwa wakiimba hapana kugusa Mzungu
 
Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu.

Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari.

Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe.

Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali kinachoendelea chini.

Video imeonyesha makaburi ya halaiki.
Video imeonyesha watu wakijaribu kukimbia kisiwa kwa matanga.

Video imeonyesha watu waliozagaa ufukweni kama nzige huku wakionyesha dalili za kufa.

Haya yote yalitokea Zanzibar. Watu wakauliwa kama wanyama!

Hii yote ili iweje, ili iwe nini na kwa nini?

Kwa video hii, kwa hali hii, hizi roho za waliodhulumiwa maisha yao zinastahili haki. Zanzibar kamwe haiwezi kuwa sawa sawia mpaka hizi roho zitendewe haki. Hii ni dhulma kubwa kabisa walitendewa watu hawa.

Hiii ni video iliyochukuliwa tarehe 12/January 1964 siku ya mapinduzi inaumiza sana:

View attachment 2481240
Waraabu walipovamia Znz waliua Waafrika wengi sana wakati wa utumwa. Hivyo kama waliuwawa wakati wa mapinduzi matukufu ni sawa tu. Ukoo wa wenyeji wa Znz wako wapi?
 
sina chuki na watu wowote ila ukiangalia historia waafrika waliuwawa kwa wingi sana hiyo idadi ya 13000 u aweza zidisha hata mara 1000 wakati wa utumwa, sasa kuua waarabu kidogo tu mnalalamika.

fuatilia historia ya utumwa ndio utajua mabaki ya mizoga ya watu waliozagaa kwenye fukwe ya bahari hapo zenji kutokana na kufa wakati wa kuja utumwani
 
Waraabu walipovalia Znz waliua Waafrika wengi sana wakati wa utumwa. Hivyo kama waliuwawa wakati wa mapinduzi matukufu ni sawa tu. Ukoo wa wenyeji wa Znz wako wapi?
Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikiziwa kesi yoyote
 
sina chuki na watu wowote ila ukiangalia historia waafrika waliuwawa kwa wingi sana hiyo idadi ya 13000 u aweza zidisha hata mara 1000 wakati wa utumwa, sasa kuua waarabu kidogo tu mnalalamika.

fuatilia historia ya utumwa ndio utajua mabaki ya mizoga ya watu waliozagaa kwenye fukwe ya bahari hapo zenji kutokana na kufa wakati wa kuja utumwani
Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikiziwa kesi yoyote
 
Tuwekee jina la mwafrika mmoja tu aliyeuwawa wakati wa utumwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa au kubambikizåiwa kesi yoyote
Wewe hujui historia ya utumwa Znz? Au wewe umetuwekea jina hapa? Acha ubishi usiokuwa na maana. Kama unaumia sana hao waarabu kuuwawa hamia Oman. Mimi ningekuwepo ningeua zaidi ya hao kulipiza kisasi cha kuua waafrika wenzetu.
 
Wewe hujui historia ya utumwa Znz? Au wewe umetuwekea jina hapa? Acha ubishi usiokuwa na maana.
Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa
 
Mimi sijajisifu kuijua historia ya utumwa , wewe unayeijua tuwekee jina moja tu la mtumwa aliyeuliwa au kubambikiziwa kesi ya ugaidi au Mali yake kutaifishwa
Wewe umeweka jina la hao waoman ndugu zako waliouwawa siku ya mapinduzi matukufu?
 
Back
Top Bottom