Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kumbe Serikali ya CCM huwa inatoa pesa kwa watangazaji ili wawape sifa wasizostahili?Tunawajua huyo mlevi na njaa kali ....omba omba kitonga huyooo sasa Ukute wamemtolea nje kumpa mpunga awasifieeee
hKumbe Serikali ya CCM huwa inatoa pesa kwa watangazaji ili wawape sifa wasizostahili?
Kila taasisi inamlengo wake , ukiamua kua mwanaharakati tafuta jukwaa la harakati.Wewe ni lishamba, lioga, linafiki, lijinga na li limbukeni.
Kwani hujawahi kuiskia hii ya kua mchicha mwiba?!!mbona ilishasemekana na wakadai ndoa ni geresha tuBado mtakuja na nyuzi za "Kama anapandisha mtungi au mchicha mwiba"...wabongooo hatuishiwi majambo
Acheni basi mweeKwani hujawahi kuiskia hii ya kua mchicha mwiba?!!mbona ilishasemekana na wakadai ndoa ni geresha tu
Kweli tena si alikua anatoka na ESTA dalali Gerald akaenda oa mtu mwingine ikasemekana ni mchicha mwibaAcheni basi mwee
Nchi hii Media asilimia kubwa wengi si waandishi wa habari,ila siyo sababu ya kumfuta kazi cos hakukosea alichokisemaKuna hizi tetesi kwamba Gerald Hando hana taaluma ya habari, na kwamba kitaaluma ni fundi Bomba.
Anayemjua vizuri atupe za ndani
Nchi ina vilaza wanaosema wamesoma. Wametapakaa kila mahali. Ukiona hivyo, zengwe lishaivaKutokuwa na taaluma ya habari maana yake ni nini? Si mtangazaji?
Anaandaliwa zengweKama anafanya kazi kulingana na maadili ya uandishi wa habari hakuna haja ya kumchunguza
Maisha bila unaafiki bongo hayaendiBongo unafiki ndio sifa na uchawa
Utaskiaaaa soon tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado mtakuja na nyuzi za "Kama anapandisha mtungi au mchicha mwiba"...wabongooo hatuishiwi majambo
Mbna sina habariiii??? Hebuu niingie kufanya utafiti.Kwani hujawahi kuiskia hii ya kua mchicha mwiba?!!mbona ilishasemekana na wakadai ndoa ni geresha tu
Ingia ndugu ingia....!!!mbona zilikuwepo enzi hizoo kidogoo na humu ziliwekwaga
Uwiiiiiiih khaaaahIngia ndugu ingia....!!!mbona zilikuwepo enzi hizoo kidogoo na humu ziliwekwaga
Ohoooo.. hatareeKwani hujawahi kuiskia hii ya kua mchicha mwiba?!!mbona ilishasemekana na wakadai ndoa ni geresha tu
KibondeNakumbuka wakati flani tunasotea bumu mtangazaji mmja akatukosoa basi kesho yake na mapema tuñakuta vyeti vyake ubaoni halafu daa hii nchi Ni noma sana