Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Vijana walevi mna mambo mengi sana. Unavyosimulia jinsi mlivyokua mnakunywa mipombe hiyo as if ni kitu kitamuuu!
.
Mhaya alipigwa kata funua[emoji1]huyo Mnyakyusa ni mafia sana.......
Mhaya hoi[emoji23][emoji23]
Kwamba alilewa kupitiliza au vp?Hakuna Cha dawa Wala nn mhaya itakuwa k vant ilifanya yake,na ukimuuliza vizuri hata mbususu inawezekana hakula
Ugolo ulivo na harufu Kali imawezekna vp mtu awekewe asinotice au Kupiga chafya?kitambo sana. mpka kuwekeana ugoro kwenye vinywaji mbona kawaida
Ugolo ulivo na harufu Kali imawezekna vp mtu awekewe asinotice au Kupiga chafya?
Ebi Ufafanuzi kdg Apo kiongozi [emoji4]
Hii inatish Sana,basii mwnyw nilinusurika maana huenda ile kamati ya mabinti wangetunyoosha woteugolo ukiwekwa kwenye coca cola au ma pombe ya lager huwezi kuijuaa wala harufu huwezi nusa.
Ukiwa unakunywa kola au soda yyte utahisi umewekewa kitu mana kizunguzungu kitagonga sana ila kama pombe huwez jua
Kumbe na viongozi wa dini nao ukutwa madhira Kama yetu raia waovu [emoji1787][emoji1787]Dah kuna padri alipigwa 25mil singida na mdada alikuwa kaajiriwa kwa mama ntilie alifanikiwa kumpata lakini huyo dada aligoma kabisa kurudisha pesa na padri alikuwa hathubutu kwenda polisi. Padri alijifanya hizo anaacha kwenye gari kumbe huyo dada alikuwa ashajua padri ana mzigo basi walivyoingia lodge usiku mdada akamvizia akachukua funguo ya gari akaenda kuziiba zile hela kwenye gari akasepa zake.
wezi wengn wanaiba ila Wana utu kias.Mkuu Wenzangu kwamba namie ni kahaba ama[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]????
Haha.... wanaamini ni njia yao ya kujipatia kipato mkuu kama wezi wengine wanavoiba tu!!
Mbona Joannah wenzake walikunywa hizo hizo kvant kavu na hawajapoteza memory Kama yeye?Ila jamani mtu unywe mabia mixer KVANT mzinga kavukavu halafu mnasema kawekewa dawa?Hapana atakuwa yeye mwenyewe alizima akakata memory,halafu tabia ya kunywa bila kiasi ukiwa na stranger sio nzuri,Inabidi unakunywa unabakiza akili Kama mnyakyusa alivyobakiza akili za kuficha funguo nyuma ya kioo
Yeah,pombe isizidi uwezo wa kichwa kufikiriTungi ni burudani isiyo na kifani, kasheshe ni pale inapozidi.
Sahii kabisa,wanakosea sn kulaumu Pombe ikiwa haijamkosea kosa lolote mtuTungi ni burudani isiyo na kifani, kasheshe ni pale inapozidi.
Dah! Kwaiyo matiti upaka mtakataka Yao, ungejifanya bingwa wa malavidav angekunyoosha[emoji1787]Anayeibiwa na Malaya huyo ni fala. Enzi hizo chuo nipo mabibo hostel 2007, nyege zilikaba nikaenda ambiance, nikachukua limoja hapo. Kufika lodge nikaona movements haziishi, akajua mimi sijui fala aliniomba nimnyonye matiti. Kwenye matiti kuna dawa hupaka
Nikamuambia acha uthenge
Inamaana zinauzwa TU kiholela au vp?Dawa zingine zinapatikana pharmacy simple tu zinaitwa Valium[emoji769](Diazepam) zinatumika kutuliza watu ambao wako aggressive kama vichaa au mtu mwenye Convulsions(pepopunda). ukipewa hio dawa unalala fofofo. Ukiwekewa kwenye kinywaji lazima ukate moto ipo ya vidonge na sindano pia