Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Umekua ukitumia gharama sababu unaamini mapenzi ni pesa.
Kwaiyo inabidi utumie pesa ili ulinde penzi/ upate penzi.

lakini sio lazima iwe hivyo.
badili tu mtazamo na utayafurahia mahusiano. Haijaandikwa sehemu ukiwa na mwanamke basi utumie zaidi ya bajeti yako.
kingine ni kukubali gharama.

kikubwa angalia baada ya miaka 10, usije ukaishi mpweke.
 
Haijalishi mtu hana hela watu wanatumia pesa kuhonga mademu zao vitu hizi smartphone za gharama wanazomiliki dada zako unazani nani anaenunua mapenzi bila pesa wewe ni mpenzi mtazamaji tu
 
Cha muhimu ni kukaa single na Mwanamke anayehitaji pesa yako Mwambie mfanye Biashara hii ni kwa vijana watafutaji na wenye Malengo ya kumiliki ghorofa wakifika umri wa miaka 40
 
Kula dangaz tu mkuu kumiliki demu ni utumwa,ila ni mawazo yangu mkuu ila kwa wiki natumia buku 5 tu ndo utaratibu nlojiwekea na nimeweza ku-manage uchumi tofauti na nyuma
Tatizo mkuu hawa ukiwaendekeza sana utajikuta unapata hadi tabia zngne za kula tigo. Angalia sana mkuu
 
Ntaoa ila bado tu
 
Kumhudumia mwanamke asye mkeo kaka ni gharama afu utumie pesa kibao bado mle weng,si bora tu kula dangaz ieleweke moja[emoji16]
Haha sema madada ambao hawaomb hela sana wapo ila ndio kama bahat ya mtende
 
Kama wewe ni hustler basi changudoa hawakufai nakushauri kwa nia njema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…