Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Mkuu ama mbagala njoo kibamba huku hakuna upuuzi kama huo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ungewaambia hapo hao makahaba au walikuambia na JF pia wapoo?? Woiiiiiih
We mjukuu nawe....

Tayari ni tangazo hilo (hata kama mleta mada hakukusudia hivyo)...au kwa vile hujasoma Cuba?

Huoni hapo juu tayari mabaharia wanaulizia ni Mbagala ipi hasa? Na ameshawaelekeza! 😁😁😁
 
Punguza jazba kaka!!na tunaomba usitugombeze humu jukwaani,,,inawezekana hadi wewe imekuwa kero kwako na wao kwa upande wao wewe umekuwa kero kwao,,,na hadi mfikie hatua ya kila mmoja kumuona mwenzie kero ni kuna mazoea ndani yake,,badilisha njia asee!!!
 
🤭 sure mbagala zakhiem bar ni balaa usumbufu si wa kitoto pia ni hatari sana kwa asie mwenyeji
 
We mjukuu nawe....

Tayari ni ngazo hilo (hata kama mleta mada hakukusudia hivyo)...au kwa vile hujasoma Cuba?

Huoni hapo juu tayari mabaharia wanaulizia ni Mbagala ipi hasa? Na ameshawaelekeza! [emoji16][emoji16][emoji16]
Khaaaaah kumbe alikua anawastua wana?? Sijasoma kwa Fidel Castro ndo maana hivyoo babu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ujumbe wako mkuu kama wamo humu wamekusikia, ila ingekuwa vyema ukachukua kipaza sauti na kwenda kuwaambia laivu makahaba wale kuliko kuja humu maana nadhani humu wamejaa great thinker, wafate mkuu au unaogopa wanaweza kukubabu seya? maana usizani wale wote wanawake maana kuna vidume vinaaga familia usiku vinaenda kutafuta kumbe vimeenda kuuza t*go ili familia iende toi**t na wanaitwa baba, kwa hiyo mkuu wafate huko huko usigope ila watakacho kufanya usituletee mlejesho humu.
 
😂😂Shemeji tena
 
usiposema ni mbagala sehemu gani ,huo utakuwa n uongo wa kiwango cha lami maana mbagala ni kubwa sana mzee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…