watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za buhigwe ,namtumbo na simiyu ama na mashirika uchwara .
ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1.TRA
2.BOT
3.DCEA
4.TISS
5.IMMIGRATION
6.NBS
7.TFRA
8.HAZINA
9.WORLD VISION
10.TCRA
11.DANISH REFUGEE COUNCIL
unashangaa umachinga ,watu tumekua ma foremen mashambani tupate kulaDuh... umeamua kuwa machinga?
hawa nao nasikia ni nomaaOngeza na TPA
yawezekana pia kwa kiasi chakeNyakati zingine ni kukidhi vigezo vinavyotakiwa tu.Wale wa kubebwa huwa wanaandaliwa nafasi zao baada ya kuwapata wenye sifa na uwezo kwanza ili kuficha aibu ya kupata vilaza watupu.
inawezekana pia chiefKama ipo ipo tu... na kama haipo haipo tu!
Wengine mamikosi na kutazamwa macho mabaya tangu wadogo kunawapa mikosi na manyota kufifia tangu wadogo... imagine familia yenu kwenye ukoo peke yako ndo upate shahada, wale ndugu lawama watakutazamaje?
Baraka na mamikosi na mabahati mabaya yanaanzia makwetu.
Labda aje Magufuli tena, kuna azimio la mwitongo JPM alilifutilia mbali nae akafutwa.Sio kweli,na waliopata bila connection au mjomba unasemaje hapo
Imagine ndugu au family member anamuendea mtoto wa mwenzie kwa wataalam mbalimbali ili akwame maishani mwake. Aishie kuwa kama kishada angani anamangamanga tu!inawezekana pia chief
usawa huu nani afanye hivoo, watu tuna boksa mbili miezi nenda rudi kwa sababu ya msoto
Ndumba kaliSio kweli,na waliopata bila connection au mjomba unasemaje hapo
huyo ndio aliua soko la ajira kabisaLabda aje Magufuli tena, kuna azimio la mwitongo JPM alilifutilia mbali nae akafutwa.
Wamelirejesha tena.
una utani weweImmigration watu wanaingia wengi tu na hawana backup yoyote nina uhakika na nimeshuhudia wengi sana
Kupitia hilo nina mashaka hata na sehemu zingine ulizotaja hazina ukweli
wazee wa internal adverts
sahihi chiefNa kingine Cha kukusaidia Mwamba, be positive. Badili mtizamo wako kuhusu maisha. Ukiamini sana kwamba hauwezi kupata kazi bila connection, Kila kitu kinajiweka hivyo.
Kuwa mtu wa matumaini, utakutana na fursa. Hata kama una boksa mbili, hakikisha ni safi na wewe uko maridadi.
Lucky=opportunity + Preparedness (readiness)
TPDC. Hapo TCRA kama hauko vizuri kichwani basi uwe mtoto wa KigogoWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL