GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Unasababisha vijana wa JF mate yawatoke.Sijui nikupangie hata taasisi bora ? Utashangaa sana hasa hapo ni 4 tu za maana ...
TISS ni ndoto na watu wanapata wanachomolewq tu kweny ofisi yeyote kutokana na nidhamu zao...Wanapelekwa mafunzo.
Uzuri wa TISS ni mmoja pesa za kutosha kazi chache ...Mda wa free ni mwingi ukipata tasks nzito ujue kuna posho za ziada.
Mie bot naandaa hela Mr Kennedy na madam salama ninao🙏mie mfipa,wajiandae🙏🙏Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Mdogo wangu anafanyakazi katka moja ya hizo taasis, hakuwa na connection, Godfather na wala hakwenda kwa mgangaWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Sasa world vision kuna kipi cha maana Bro?ndio mkuu, hata ucleaner sijapata hapo
ChaiWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Unaweza kutupatia hiyo Document tuisome mkuu,Labda aje Magufuli tena, kuna azimio la mwitongo JPM alilifutilia mbali nae akafutwa.
Wamelirejesha tena.
never give upWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. DANISH REFUGEE COUNCIL
Kwa upande wako unaweza ukawa sahihi, na yeye pia anaweza akawa sahihi. Ila definition ya kipi ni deal au siyo deal kinategemea na status, level na mtazamo wa mtu mmoja mmoja. sidhani kama kuna common definition.Uhamiaji sio dili , nadhani mtoa mada ujitafakari
🥴 It can go beyond the spiritual world howeverKama ipo ipo tu... na kama haipo haipo tu!
Wengine mamikosi na kutazamwa macho mabaya tangu wadogo kunawapa mikosi na manyota kufifia tangu wadogo... imagine familia yenu kwenye ukoo peke yako ndo upate shahada, wale ndugu lawama watakutazamaje?
Baraka na mamikosi na mabahati mabaya yanaanzia makwetu.
Hao waganga watakurudisha nyuma hatua 100 keep God firstMWENYE HATA HAO WAGANGA BASI ATUSAIDIE TUKAZIOKOE FAMILIA ZETU,TUKO TAYR KUJITOA KAFARA KWA AJILI YA NDUGU ZETU
TISS ni Cabal iliyojificha.unafikiri kupata kazi TISS ni rahisi ?
Hao waganga wenyewe wanatafuta fursa,na fursa yenyewe ndio weweMWENYE HATA HAO WAGANGA BASI ATUSAIDIE TUKAZIOKOE FAMILIA ZETU,TUKO TAYR KUJITOA KAFARA KWA AJILI YA NDUGU ZETU
Ni kweli naamini hiloMbona tupo huko hakuna Cha mganga wala God father's