last king of uscoch
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 2,728
- 3,980
Asante sanaDah! hii inatisha!
Pole sana mkuu
nakusihi usikate tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaDah! hii inatisha!
Pole sana mkuu
nakusihi usikate tamaa
Vipi mambo baba swalehe.Okay
Mambo poa macro, Mimi sio Baba swaleheVipi mambo baba swalehe.
Ila mbona hatuwaji kuona tangazo la kazi DCEA?Labda kama hauna uwezo na kichwani ni tia maji tia maji, ila kama you are the best hapo labda Immigration, DCEA na Hazina sababu michakato yake kupenya mtihani kidogo pia masuala ya kiusalama
Lakini huko kwingine kote tuna ndugu zetu wakina kajamba nani wamepenya na hawakuwa hata na connection kihivyo
Ila darasani sasa ndio 🔥🔥🔥🔥
Sawa gentamycine, piggs mzee wa ma ID mengi.Tiss kawaida sana, kama ulivyosema watu wanapenda hii kazi kwa sababu ya jina 'afisa usalama' ila kwa upande wa maslahi ni kidogo sana.
Ongeza na TBSWatoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. LATRA& WCF
Fimbo ya ufalme ikiingia kwenye ukoo, haitoki, labda kutokee tatizo kubwa sana!Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. LATRA& WCF
Hii victimization mentality ni very toxic. Badilika !!!!Watoto wa masikini wakikaza sana wataishia halmashauri za Buhigwe, Namtumbo na Simiyu ama na mashirika uchwara.
Ila ukitaka utoboe kwenye hii list lazima uwe na Godfather huko, ama una ndumba kali.
Mashirika na taasis zenyewe ni hizi hapa chini
1. TRA
2. BOT
3. DCEA
4. TISS
5. IMMIGRATION
6. NBS
7. TFRA
8. HAZINA
9. WORLD VISION
10. TCRA
11. LATRA& WCF
ngumu sana kupata kazi hukoIla mbona hatuwaji kuona tangazo la kazi DCEA?
Wanatangaza vipi ?