maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Kumekuwa na storie niseme propaganda zikiongozwa na mtu mzima Rais wa Marekani huku zikijibiwa kwa vitendo na Iran
Wenye akili walishajua kuna mtu alikuwa anajazwa kwenye mfumo naye kajaa kisawasawa kituo kinachofwata Israeli inaenda kufutwa kwenye Uso wa dunia na Marekani atapoteza kambi zake zote ikiwezekana watu watamfwata huko aliko