Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

Dunia uwanja wa fujo.
Hizo pesa wanazopoteza ! Kwa upumbavu wa kichaa Trump
Ishu sio Trump...
Huo ni mfumo wao tokea marekani ipate uhuru mwaka wa 1776 kutoka kwa wafaransa na uingereza
.....nchi ya marekani inaendeshwa kupitia vita ......
Ni sawa na tanzania vijana wanaandamana wakisema mama samia must go huku wamesha sahau bila kuuondoa mfumo wa CCM bado yatakuwa ni yale yale hata akiondoka mama samia ...
 
Ukiwa unaropoka huu utumbo Trump ameshaanza kutafuta mtu wa upatanishi,kaanza na Italy wakawashawishi Iran aache vita ila wamekataa.
For your IGNORANCE Iran ni taifa lililozoea vita za muda mrefu miongoni mwa hayo mataifa.
Hadi sasa USA mashariki ya kati kashapoteza KILA KITU kuanzia kambi hadi BALOZI.
Iran ilivumilia vita za MIAKA NANE kuanzia 1980 hadi 1988. Iraq ikiwa inasaidiwa na huyo USA,France,Germany na USSR.
Na usichokijua maafisa wa kimataifa washasema "Israel will not be able to contain the war in coming days",nenda kamsikilize SECUNDER international affairs correspondent.
Chris Murphy Senator wa USA amekiri kuwa KILA SEHEMU SENSITIVE YA USA MID EAST IMEPIGWA.
Na Israel ndio wanaumia zaidi kwasababu jiografia yao haitaweza kuhimili vita muda mrefu.
Leo hii Hizbollah washaua IDF soldiers 10+ na wanazidi kutwanga ndani ya Israel.
Soon Israel ataomba USA a push ceasefire.
Msiropoke tu kama hamjui.
Vijana wengi hawajui ili na Trump kachemka
 
Uongo na mda ni adui,time will tell,kuna watu bado wanaakili za kushikiliwa na wakoloni kuwaona wao ni bora na wako juu yao milele,yaani Marekani na Israeli ni kila kitu,wengine wanafika mbali zaidi kwa imani zao za kijinga kuamini bado Israeli ni Taifa la Mungu wakati kama tungekuwa tunaishi nao leo Tanzania tungekuwa tunawaona wakiwa zaidi ya bongoi move au bongo fleva kwa maisha yao yaani pombe mziki bangi ufiraji mpaka usagaji maana ndani ya inchi yao ni ruksa tofauti na inchi ya Irani ambao unawaona wako mabarabalani wakiswali na kila kitu wakimtaja Mungu wao
 
Back
Top Bottom