Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

Kwamba Iran amshinde Mmarekani?
👐🏼👐🏼😂😂
Kweli serikali ibadilishe tuu mtaala wa elimu.

Yaani Karne ya 21 kuna MTU mpaka Leo hajajua hila na mbinu za Wazungu?

Mmarekani anatabia ya kukupiga alafu analia yeye. Ni bingwa wa hadaa kudanganya wajinga.

Anatajifanya kuomba msaada. Mfano anakuambia anaomba Msaada Ukraine. Alafu kuna mjinga anaona marekani maji ya shingo.
Yaani ni Sawa na MO au Bakhresa kupambana na Chief Godlove alafu katika mpambano MO Akuombe wewe msaada.

Marekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
IMG_20260307_084942.jpg

Hapa👆🏾 umesema kitu kikubwa mno, umbumbumbu wa wa-TZ ni wa kiwango cha kustaajabisha mno. It's either kweli ni mambumbumbu au wamekuwa blinded na ushabiki pamoja na wishful thinkings.
The ass-holes are so ignorant.
 
Vita hii ni ngumu pande zote mbili hasa kwa upande wa Iran na nilishatoa mawazo yangu mara kadhaa sababu zinazofanya Iran kupoteza zaidi,
Lakini licha ya ugumu huo pande zote zinaugulia maumivu.

Iran anapambana na maifa zaidi ya saba ni ngumu kutoboa ila hadi kushindwa itakua kawachosha sanaa hasa kuharibu kabisa maslhi yao ya kiuchumi middle east yote.
🙏
 
Kwamba Iran amshinde Mmarekani?
👐🏼👐🏼😂😂
Kweli serikali ibadilishe tuu mtaala wa elimu.

Yaani Karne ya 21 kuna MTU mpaka Leo hajajua hila na mbinu za Wazungu?

Mmarekani anatabia ya kukupiga alafu analia yeye. Ni bingwa wa hadaa kudanganya wajinga.

Anatajifanya kuomba msaada. Mfano anakuambia anaomba Msaada Ukraine. Alafu kuna mjinga anaona marekani maji ya shingo.
Yaani ni Sawa na MO au Bakhresa kupambana na Chief Godlove alafu katika mpambano MO Akuombe wewe msaada.

Marekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
Mr mtibeli
 
View attachment 3554005
Hapa👆🏾 umesema kitu kikubwa mno, umbumbumbu wa wa-TZ ni wa kiwango cha kustaajabisha mno. It's either kweli ni mambumbumbu au wamekuwa blinded na ushabiki pamoja na wishful thinkings.
The ass-holes are so ignorant.
Lakini leo siku ya ngapi vita bado inapigwa kumbuka Irani anapigana na Mataifa mawili na bado ndiyo inchi ya kwanza duniani kuzifuta ngome zote za Marekani mashariki ya kati
 
Neno kuzifuta badilisha weka neno kuzishambulia, kumbuka Iraq ya Saddam Hussein ilipigana miaka mingapi lakini ilikuwa against the whole NATO hivyo jeshi ku-survive days, weeks, months or few years doesn't mean shit kwani eventually wataswagwa kama inzi. Ushabiki ni hulka ya binadamu but this is not a game, it's war so we have to be realistic.
 
Lakini si unasikia sasa hivi anataka kwenda kumramba matako Mrusi ili amuuzie mafuta?si alisema atakuwa anazieskoti meli za mafuta kwenye mlango wa sasa kimewakuta nini?
Kiujumla watu wanamlia timing Marekani Mwisho wake ndiyo umefika,atapigwa Muisraeli atapigwa mtaiwani atapigwa mpaka korea ya kusini
 
Vita vina propaganda nyingi na kila unapopambana hata kama unapambana na mtu uliyemzidi kila kitu expect to meet challenges especially kama hii case ya Iran because they're fighting for survival, surviving means a win to them. US and Israel this is a war of choice and that's the very big difference.
Iran hata wao wanajua kuwa hawawezi kuwashinda kivita hawa wanaopambana nao, mwisho wa haya mapambano kama regime yao inanusurika kung'olewa huo ndiyo utakuwa ushindi wao na hicho ndicho wanachokipigania. To survive.
 
Lakini si unasikia sasa hivi anataka kwenda kumramba matako Mrusi ili amuuzie mafuta?si alisema atakuwa anazieskoti meli za mafuta kwenye mlango wa sasa kimewakuta nini?
Kiujumla watu wanamlia timing Marekani Mwisho wake ndiyo umefika,atapigwa Muisraeli atapigwa mtaiwani atapigwa mpaka korea ya kusini
MMarekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta

Pia kwa sasa anakomba mafuta yote ya venezuela. Sasa hayo mafuta anayotaka kununua ni ya nini? Kwamba mafuta anayovuna hayawatoshi?
 
Sikutaka kuchangia uzi ila kuna moment mbili zimenifanya nichangie uzi
kwanza mtu anakuambia iran amefuta kambi za marekani middle East

pili amesema marekani anamuomba mafuta urusi aisee imenishangaza sana

Yaani marekani anamiaka zaidi ya 10 amemuekea vikwazo iran, na miaka zaidi ya minne amemuekea vikwazo Russia leo aende akawaombe duuuuuu aiseeee

Na unakuta aliyesema hivyo alisikia kwenye kijiwe cha kahawa

In-short elimu yetu inabidi ifanyiwe marekebisho makubwa sana uwezo wa watu kuchambua mambo ni mdogo sana na utaona kwenye mgogoro wa sasa wa iran vs Israel na marekani
 
Back
Top Bottom