maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Hivi Trump hua anakunywa bia ganiMarekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
Hivi Trump hua anakunywa bia gani
Anajifanya yeye ndio anaepigwa?Jamaa ni chizi.
Alafu anajua kuhadaa na kupumbaza.
nasikia balimi...😂Hivi Trump hua anakunywa bia gani
hehe.. the art of warKwamba Iran amshinde Mmarekani?
👐🏼👐🏼😂😂
Kweli serikali ibadilishe tuu mtaala wa elimu.
Yaani Karne ya 21 kuna MTU mpaka Leo hajajua hila na mbinu za Wazungu?
Mmarekani anatabia ya kukupiga alafu analia yeye. Ni bingwa wa hadaa kudanganya wajinga.
Anatajifanya kuomba msaada. Mfano anakuambia anaomba Msaada Ukraine. Alafu kuna mjinga anaona marekani maji ya shingo.
Yaani ni Sawa na MO au Bakhresa kupambana na Chief Godlove alafu katika mpambano MO Akuombe wewe msaada.
Marekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
Balimi sio bia zile ndizi zimechachanasikia balimi...😂
😂Balimi sio bia zile ndizi zimechacha
Basembi....Hivi Trump hua anakunywa bia gani
Mbona wanajificha kama wanafurahia kufamimi ninachofahamu iran walikuwa wameipania siku nyingi israel yaani kilichokuwa kinasubiliwa ni muda tu.....muiran akifa jihad anaenda peponi, mzungu anaogopa kufa😷
Nimecheka sana mkuu 🤣🤣🤣propaganda nyingi na video za AI lkn wanaoumia ni Iran wanaojifariji ni waarabu weusi wa Mchambawima na Kakonko..
Cocaine+ Heroine+Bush weedHivi Trump hua anakunywa bia gani
Hio bia au niini?Basembi....
Noma sanaCocaine+ Heroine+Bush weed