M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Kwamba Iran amshinde Mmarekani?
ππΌππΌππ
Kweli serikali ibadilishe tuu mtaala wa elimu.
Yaani Karne ya 21 kuna MTU mpaka Leo hajajua hila na mbinu za Wazungu?
Mmarekani anatabia ya kukupiga alafu analia yeye. Ni bingwa wa hadaa kudanganya wajinga.
Anatajifanya kuomba msaada. Mfano anakuambia anaomba Msaada Ukraine. Alafu kuna mjinga anaona marekani maji ya shingo.
Yaani ni Sawa na MO au Bakhresa kupambana na Chief Godlove alafu katika mpambano MO Akuombe wewe msaada.
Marekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
Castle waziHivi Trump hua anakunywa bia gani
Hio ni bia mpya huko USA?Castle wazi
Safari ya baridi plus mixer na kitu cha Arusha.Hivi Trump hua anakunywa bia gani
Mr mtibeliKwamba Iran amshinde Mmarekani?
ππΌππΌππ
Kweli serikali ibadilishe tuu mtaala wa elimu.
Yaani Karne ya 21 kuna MTU mpaka Leo hajajua hila na mbinu za Wazungu?
Mmarekani anatabia ya kukupiga alafu analia yeye. Ni bingwa wa hadaa kudanganya wajinga.
Anatajifanya kuomba msaada. Mfano anakuambia anaomba Msaada Ukraine. Alafu kuna mjinga anaona marekani maji ya shingo.
Yaani ni Sawa na MO au Bakhresa kupambana na Chief Godlove alafu katika mpambano MO Akuombe wewe msaada.
Marekani ni tapeli Sana.
Alafu linapambana kishetani kwa akili ambayo watu Normal huona kama anaanguka kumbe lenyewe linazuga tuu
ZILE zinatengenezwa kiboshooBalimi sio bia zile ndizi zimechacha
Ndizi zimechacha mbaya ukifakamia vibaya jiandae kutapika vibayaZILE zinatengenezwa kiboshoo
Noma sana bongo kuna bia za kila aina
Lakini leo siku ya ngapi vita bado inapigwa kumbuka Irani anapigana na Mataifa mawili na bado ndiyo inchi ya kwanza duniani kuzifuta ngome zote za Marekani mashariki ya katiView attachment 3554005
HapaππΎ umesema kitu kikubwa mno, umbumbumbu wa wa-TZ ni wa kiwango cha kustaajabisha mno. It's either kweli ni mambumbumbu au wamekuwa blinded na ushabiki pamoja na wishful thinkings.
The ass-holes are so ignorant.
Neno kuzifuta badilisha weka neno kuzishambulia, kumbuka Iraq ya Saddam Hussein ilipigana miaka mingapi lakini ilikuwa against the whole NATO hivyo jeshi ku-survive days, weeks, months or few years doesn't mean shit kwani eventually wataswagwa kama inzi. Ushabiki ni hulka ya binadamu but this is not a game, it's war so we have to be realistic.Lakini leo siku ya ngapi vita bado inapigwa kumbuka Irani anapigana na Mataifa mawili na bado ndiyo inchi ya kwanza duniani kuzifuta ngome zote za Marekani mashariki ya kati
Mbona wanajificha kama wanaenda peponi??mimi ninachofahamu iran walikuwa wameipania siku nyingi israel yaani kilichokuwa kinasubiliwa ni muda tu.....muiran akifa jihad anaenda peponi, mzungu anaogopa kufaπ·
Lakini si unasikia sasa hivi anataka kwenda kumramba matako Mrusi ili amuuzie mafuta?si alisema atakuwa anazieskoti meli za mafuta kwenye mlango wa sasa kimewakuta nini?Neno kuzifuta badilisha weka neno kuzishambulia, kumbuka Iraq ya Saddam Hussein ilipigana miaka mingapi lakini ilikuwa against the whole NATO hivyo jeshi ku-survive days, weeks, months or few years doesn't mean shit kwani eventually wataswagwa kama inzi. Ushabiki ni hulka ya binadamu but this is not a game, it's war so we have to be realistic.
Vita vina propaganda nyingi na kila unapopambana hata kama unapambana na mtu uliyemzidi kila kitu expect to meet challenges especially kama hii case ya Iran because they're fighting for survival, surviving means a win to them. US and Israel this is a war of choice and that's the very big difference.Lakini si unasikia sasa hivi anataka kwenda kumramba matako Mrusi ili amuuzie mafuta?si alisema atakuwa anazieskoti meli za mafuta kwenye mlango wa sasa kimewakuta nini?
Kiujumla watu wanamlia timing Marekani Mwisho wake ndiyo umefika,atapigwa Muisraeli atapigwa mtaiwani atapigwa mpaka korea ya kusini
UNADHANI HIZO HELA WANAZOPOTEZA WANAZIPATA KIHALALI?Dunia uwanja wa fujo.
Hizo pesa wanazopoteza ! Kwa upumbavu wa kichaa Trump
MMarekani ni mzalishaji mkubwa wa mafutaLakini si unasikia sasa hivi anataka kwenda kumramba matako Mrusi ili amuuzie mafuta?si alisema atakuwa anazieskoti meli za mafuta kwenye mlango wa sasa kimewakuta nini?
Kiujumla watu wanamlia timing Marekani Mwisho wake ndiyo umefika,atapigwa Muisraeli atapigwa mtaiwani atapigwa mpaka korea ya kusini
Sikutaka kuchangia uzi ila kuna moment mbili zimenifanya nichangie uziMMarekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta
Pia kwa sasa anakomba mafuta yote ya venezuela. Sasa hayo mafuta anayotaka kununua ni ya nini? Kwamba mafuta anayovuna hayawatoshi?
Unaujua ukubwa wa Marekani lakini kabla hujajibu jibu lako?MMarekani ni mzalishaji mkubwa wa mafuta
Pia kwa sasa anakomba mafuta yote ya venezuela. Sasa hayo mafuta anayotaka kununua ni ya nini? Kwamba mafuta anayovuna hayawatoshi?