Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

Siyo kweli hayo ni mawazo yako ya vita vya Iraque,Muajem anataka kuipukutisha Isaeli na alishasema kiongozi wa Wairani aliyekufa siku moja anataka akaswali kwenye msikiti wa Aqsa wanaotaka kuubomoa Waisiraeli yaani hii haina po wala mwisho mpaka Israeli ibaki majivu,pili hataki kuona kambi zozote za kimarekani iwe fundisho kwa waarabu waone kumkaribisha mmarekani sawa na kulima shamba la bangi kalibu na kituo cha polisi
 
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Kartz amesema yeyote ambaye atajaribu kufata njia alizopota Ayatollah Ali khamenei atajikuta amemfuata Khamenei huko alipo akipaita 'kuzimu'.

Ametoa kauli hii nzito kupitia mtandao wa X akilionya kundi la Hezbollah kwa jaribio la shambulizi walilofanya usiku Israel huku akikumbushia Israel ilivyomuua Katibu Mkuu wa kundi hilo Hassan Nasrallah.

“Shirika la kigaidi la Hezbollah litalipa gharama kubwa kwa mashambulizi ya risasi na makombora kuelekea Israel”

Kartz amesisitiza “Yeyote atakayefuata njia ya Khamenei atajikuta hivi karibuni pamoja naye katika kina cha kuzimu, sambamba na wahusika wote wa kile kinachoitwa mhimili wa uovu.”

Katika hatua nyingine ameahidi kuwa Israel itatimiza azma yake ya kusambaratisha utawala wa Israel na hatua zisizomithilika zitachukuliwa kwa Hezbollah.

“Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mimi tumewaelekeza Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) kuchukua hatua kali dhidi ya Hezbollah, huku tukiendelea kutekeleza lengo kuu: kuusambaratisha na kuushinda utawala wa kigaidi wa Iran na kudhoofisha uwezo wake
 
MTAFUTE USTAADH RITZ
MKUMBUSHE POST ZAKE HUMU SHUHULI ILIPOANZA

😆 😂
😆 😂 😆 😂
USA BYB TRUMP MUCH LVE BOSS
 
Iran aliye kanusha nani kama Ayatollah Ali Khomen kafa, aliye zungumza hayo ni waziri wa Mambo ya nje alikuwa hayuko Iran vipi mnataka aseme kafa bila kupata full infomation kilicho tokea.

Iran hawafichi lolote mwenye kuficha ni Israel na USA
 
The sad part ni kwamba uwezo huo Muajemi hana, yaani hapo alipo sasa hivi tayari hana military barracks zilizosalia, police stations zimebaki za Central and Eastern part of the country lakini bado zinasambaratishwa. Hana tena air defence systems yaani wanamuingilia kama kumchokonoa kidole matakoni. Kabaki na mobile systems ambazo kwa kuwa zina hamahama ndiyo wahuni wanazitafuta kwa 'tochi' na hapo ndipo anapofanikiwa kurusha makombora na stock zao za makombora zilizo underground nyingi bado ziko salama ila if you compare wanavyoshambulia na wanavyoshambuliwa the difference ni mbingu na ardhi. Their only hope is to keep hanging on the cliff and survive the storm.
 
Iran aliye kanasha nani kama Ayatollah Ali Khomen kafa, aliye zungumza hayo ni waziri wa Mambo ya nje alikuwa hayuko Iran vipi mnataka aseme kafa bila kupata full infomation kilicho tokea.

Iran hawafichi lolote mwenye kuficha ni Israel na USA
Alikanusha vipi kabla ya ku cross-check?
That's a cheap and pathetic excuse.
 
Acha uongo mkuu..
 
unajua hizi vita siyo ngeni ila zinabadirika kutokana na miaka na teknolojia,Irani au Waisilamu wanapigana kwa maelekezo ya vitabu vya dini,huruhusiwi kuuwa raia wanawake watoto na adui akijisalimisha hutakiwi kumuuwa au usubilie kwanza mtu akuanze
Sasa Israeli toka alipolianzisha hakutakuwa na kusimama au kuzungumza maana huko nyuma kalibu miaka 1400 yalishatokea haya adui akiona anazidiwa anaomba poo ili akajipange safari hii mda ndiyo utakaoongea
Nahisi ipo siku utajipeleka ukaombe ulazwe hospitali kwa hayo mapenzi,Meli za Marekani zimeshambuliwa Israeli anakula kisago kila dakika haku watu wamezidiwa wanaomba misada mpaga Ghana halafu unasemaje?
 
We jamaa ni muongo..
Interceptor za US zinakwisha middle east, anazigawa kwa Israel pamoja na gulf states..

Interceptos hujafuatilia gharama yake ya utengenezaji... jaribu kufuatilia uzalishaji wa hizo interceptor halafu fuatilia urushwaji wa shaheed drones kutoka Iran..

Unakuja hapa unadanganya watu eti 'US ni binga wa kupigana vita huku analia'

interceptor moja inayokaa kwenye destroyer inafikia 30 Mils USD, interceptor ya PAC-3 patriot inafika 3Mils hadi 4 Mils USD USD , kuna ambazo wanatoa ni advanced zinafika hadi 10 MIls USD...

Shaheed drones kwa siku Iran wanarusha ni mamia, PAC-3 interceptor kwa mwaka mzima marekani inazalisha 620 na sasa serikali ipo kwenye mpango wa kuongea na watengenezaji kuongeza uzalishaji.

SM-3 mwaka mzima wanatengeneza 40 tu...

Huelewi process na hujafuatilia hata Ukraine kaitiwa nini na kaombwa msaada gani..

Ukraine ameitwa kwa sababu ndio mabingwa wa kuzuia hizo shaheed drones, shaheed drones zilitengenezwa na Iran, Iran wakawapa hio tech Russia, Russia wakatengeneza zao wanaita Geran-2, Russia ndipo anatumia hizo drones kuwapa shida Ukraine, Ukraine at least ndio wana mifumo yao kupambana na shaheed drones.

US interceptor zake ni very expensive, kitu kinachopelekea wana run low kwenye interceptors, na kinachowapa shida ni hizo shaheed drones.


Ukraine wanatumia drone vs drone interceptor, njia ambayo ni nafuu... ndio maana waliombwa wakawasaidie washirika wa US pale gulf states kuzuia drones za Iran, hilo Zelensky mbona kalisema kule X...


Ujinga ni kufikiri US kwenye kila kitu yupo mbele kitu ambacho si kweli.. hizo shaheed drones US kaiga tech zake anaziita LUCAS.. na hio tech ni ya Iran...

US kaomba kuazima THAAD ADs kutoka South Korea na Ukraine...

Sio jinsi unadanganya watu hapa eti US sijui ni sawa na Bakhresa... We unafikiri huyo Bakhresa na pesa zake akiugua anayemtibu ni nani kama si daktari wa kawaida tu mwenye maarifa.. au ulifikiri ukiwa tajiri huwezi kupata shida ama changamoto ikatatuliwa na mtu unayemzidi kipato..
 
Elimu kubwa salute kwako
 
Ukiwa unaropoka huu utumbo Trump ameshaanza kutafuta mtu wa upatanishi,kaanza na Italy wakawashawishi Iran aache vita ila wamekataa.
For your IGNORANCE Iran ni taifa lililozoea vita za muda mrefu miongoni mwa hayo mataifa.
Hadi sasa USA mashariki ya kati kashapoteza KILA KITU kuanzia kambi hadi BALOZI.
Iran ilivumilia vita za MIAKA NANE kuanzia 1980 hadi 1988. Iraq ikiwa inasaidiwa na huyo USA,France,Germany na USSR.
Na usichokijua maafisa wa kimataifa washasema "Israel will not be able to contain the war in coming days",nenda kamsikilize SECUNDER international affairs correspondent.
Chris Murphy Senator wa USA amekiri kuwa KILA SEHEMU SENSITIVE YA USA MID EAST IMEPIGWA.
Na Israel ndio wanaumia zaidi kwasababu jiografia yao haitaweza kuhimili vita muda mrefu.
Leo hii Hizbollah washaua IDF soldiers 10+ na wanazidi kutwanga ndani ya Israel.
Soon Israel ataomba USA a push ceasefire.
Msiropoke tu kama hamjui.
 
 
 
Kaambiwa hivyo msikitini baada ya Taraweah
 
Mzee, una elimu duniya kweli?
Napatwa mashaka sana na uwezo wako wa kuchakata mambo!
Kuna wakati inabidi tujiepushe na vi aibu vidogo vidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…