Hizo propaganda zina mwisho wake mmoja au wawili lazima anywe kikombe

Dunia uwanja wa fujo.
Hizo pesa wanazopoteza ! Kwa upumbavu wa kichaa Trump
Ishu sio Trump...
Huo ni mfumo wao tokea marekani ipate uhuru mwaka wa 1776 kutoka kwa wafaransa na uingereza
.....nchi ya marekani inaendeshwa kupitia vita ......
Ni sawa na tanzania vijana wanaandamana wakisema mama samia must go huku wamesha sahau bila kuuondoa mfumo wa CCM bado yatakuwa ni yale yale hata akiondoka mama samia ...
 
Vijana wengi hawajui ili na Trump kachemka
 
Uongo na mda ni adui,time will tell,kuna watu bado wanaakili za kushikiliwa na wakoloni kuwaona wao ni bora na wako juu yao milele,yaani Marekani na Israeli ni kila kitu,wengine wanafika mbali zaidi kwa imani zao za kijinga kuamini bado Israeli ni Taifa la Mungu wakati kama tungekuwa tunaishi nao leo Tanzania tungekuwa tunawaona wakiwa zaidi ya bongoi move au bongo fleva kwa maisha yao yaani pombe mziki bangi ufiraji mpaka usagaji maana ndani ya inchi yao ni ruksa tofauti na inchi ya Irani ambao unawaona wako mabarabalani wakiswali na kila kitu wakimtaja Mungu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…