Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!


Kiranga, ku ignore mtu ni chaguo lako,ni uhuru wako pia, hakuna sehemu nimekushambulia, kukutukana, wala kukudunisha.
Mimi nimepinga hoja yako kwamba, matatizo ya Range Rover ya miaka ya tisini ambayo wewe una uzoefu nayo, ndio hayo hayo yapo kwenye RR zote kuanzia hapo. 😁
 
Mkuu tunazungumzia Range Rover kama mtoa mada alivyosema sio tu Range Rover bali Range Rover Vitasa Vyake Vimeingia kwa Ndani.
 
Gari Kama hii Iki haribika Unaitengenizea Wapi
Bora IST😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…