BB_DANGOTE
JF-Expert Member
- Sep 25, 2023
- 388
- 561
Sababu nzuriTatizo manual zinaenda zikipotea. Prado mpya J250 na LC J300 hamna manual.
Ndio hidden doors naona wanazipiga marufuku. Ila sisi 3rd word countries hatuna sauti. Zitaendelea kuletwa used.
Nishawahi andikaga hii thread:
China wanataka kupiga marufuku “hidden door handles” kwenye magari, kwa sababu za kiusalama!
Wahindi sio malimbukeni kama sisi. Ukimuona muhimdi ana push hio muogope.Na kuna uwezekano, ata kodi zake watakua wanakwepa. Kwamba muhindi atoe Mil 200 awape TRA?
Pesa ndio tatizo my dear sister halafu nishazeeka kama nime give up vile.Kwa unavyopenda magari makali
Naamini sasa hivi upo kwenye G wagon series
Busisi peupe sana mkuu 🤠🤠🤠akajifiche Busisi.
Hii ukiamua unaendesha.Mungu hii nyeusi hapa
Bado sanaPesa ndio tatizo my dear sister halafu nishazeeka kama nime give up vile.
Kwa mara ya kwanza 2 au mwaka na nusu uliopita kama sikoseiHii ukiamua unaendesha.
Ha ha ha huwezi kunielewa.Bado sana
Hujazeeka
Utazipata tu
Usi give up
Daah, huu ni ukatili sasa.Na taqo
Wapi nimesema hivyo?Mkuu, ukiendesha Range ya 90s, je ndo huwezi kutamani kuendesha ya 2023.?
Kwamba kama mtu umeshatumia Samsung, iPhone ya 2007 basi ndo hutaki tena kununua ya 2026?
Mkuu, so wewe unapapatikia gari zipi kwa sasa? Electric Vehicles? Au upo kwenye drones, helicopters, yachts & private jets?
Figo moja ni 45M, ukiuza figo utaishia kwenye Vanguard, au Range Rover Sports ya 2003 huko. 😁
Kabisa,Haya magari huwa nayaona wahindi wanatanua nayo hapa mjini.....chuma kama hii Hadi unamiliki lazima uwe na biashara kubwa Sana za kukwepa kodi
Soko la figo lipo wapi mkuu😀
Pesa ndio tatizo my dear sister halafu nishazeeka kama nime give up vile.
Napenda sana kaulimbiu yao ya "Effortless, standard and versatile" 😉
Hadi akina maulid kitenge wanasukuma LC vxr hii nchi ukipata chance ya Kula na wakubwa ni zaidi ya peponiHa ha ha, nimeona Millard Ayo ana LC VXR mbichi kabisa. Noma sana bongo hii.
Hiyo kauli mbiu yao, unayoipenda, maana yake nini ??
Hadi akina maulid kitenge wanasukuma LC vxr hii nchi ukipata chance ya Kula na wakubwa ni zaidi ya peponi
Tractor hilo mkuu la shamba nadhani tubadilike aisee..gari ya shamba unaichanganya kwenye RR..Kila mtu na mapendeleo yake, Mi nimefall in love na huyu:
Simple.
Functional.
Reliable.
Tough.
View attachment 3574959