Isshue zangu ni lazima nipite barabara mbovu, nivuke madimbwi na mito au nipite vichakani.Tractor hilo mkuu la shamba nadhani tubadilike aisee..gari ya shamba unaichanganya kwenye RR..
Hiyo ni gari ya kazi sio luxury car mazee hauwezi kuichanganya kwenye RR Wabongo wanalia bata hiyo dude kisa lina bei kubwa wakati ni tractor hilo sio gari ya kulia mbuzi tubadilike wazee...Isshue zangu ni lazima nipite barabara mbovu, nivuke madimbwi na mito au nipite vichakani.
Na lazima niwe na chuma ambayo inavumilia shida. 😆|
Oh mimi gari nayotumia ina gharimu milioni 20 tuUkiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
View attachment 3574907
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
View attachment 3574910
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
View attachment 3574911
Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
Haa Wanyonge Hawana Kauli YoyoteHizi ukiwa kiongozi wa juu wa serikali kununua ni kama kumsukuma mlevi hata huwazi, halafu wanasema wanatutumikia wananchi wanyonge😃
Wambie wabadilike, mi siwezi 🙌🏽Hiyo ni gari ya kazi sio luxury car mazee hauwezi kuichanganya kwenye RR Wabongo wanalia bata hiyo dude kisa lina bei kubwa wakati ni tractor hilo sio gari ya kulia mbuzi tubadilike wazee...
Wanaibiwa sana na wapo busy kuulizia mileage za uongo..Gari la 2023 lina 63,000Km halafu bongo unakuta la 2004 lina 83,000Km huko showroom!!
🤣🤣🤣🤣Hizi ukiwa kiongozi wa juu wa serikali kununua ni kama kumsukuma mlevi hata huwazi, halafu wanasema wanatutumikia wananchi wanyonge😃
🤣🤣🤣 Kweli mkuu nimeshtukaNa kuna uwezekano, ata kodi zake watakua wanakwepa. Kwamba muhindi atoe Mil 200 awape TRA?
🤣🤣🤣 Umeandika kwa uchungu sana mkuuHalafu mtu amepitia kuwa rais ana utajiri wa matrion na amestaafu bado analipwa,bado ukute ana umri bado miaka si zaidi ya 10 ya kuishi hapa duniani au chini ya hapo hawazi hayo bado moyo wake unampelekea kufanya ya kuondoa wengine ili aendelee kuimiliki hiki kijiji cha dunia.
Mwingine unakuta ana miaka 60+ yuko radhi aondoe wengine ili mradi tu aendelee kutawala sehemu hii ndogo ya dunia. Tena kwa miaka mi5 tu.
yeah alimaanisha BENTAYGA.Bentayga au?
RR me nazielewa, sema nje ya budget na reliability ni tatizo.
Nchi za wenzetu hawanuni cash izo gari, wanalease.
Bongo hii huduma haipo kabisa.
🤣🤣Hyo mil 45 kuna hela ya dalali hapo, hii biashara ni ya ******* sana, fuatilia document moja ya BBC jamaa wanasema unaweza kuta wewe umekual 20Mil.
Mtu wa ueledi 🤣🤣🤣Yule mzee gari zake zinakula AC hapark nje inyeshewe na mvua.
🤣🤣🤣🤣Tractor hilo mkuu la shamba nadhani tubadilike aisee..gari ya shamba unaichanganya kwenye RR..
🤣🤣🤣 Nakubali Mkuu KAZI KAZI popote kambiWambie wabadilike, mi siwezi 🙌🏽
View attachment 3577623
Na moyo wenyewe usiwe umechoka sana! Umesukuma damu miaka 40 na mapenzi nayo miaka 20! Huu wenyewe wanunuzi hawautakiMkuu, hata figo nasikia zinabaguliwa huko kwenye soko lake usishtuke isipofika bei, labda uchanganye na moyo.
Hizo "Pengine" Ndio Hatuziitaji Na Wala Hatutaki Hata Kuzisikia Kwenye Huu Utafutaji Achana "Pengine",,Pengine"....Kwenye Huu Ulimwengu Na Walimwengu Wanachotaka Ni Mbilingimbilinge Tu....Nafikiri ifike mahala, watu wajue tunaishi ulimwengu wa tatu hivyo sio sawa kulazimisha kuishi maisha ambayo hatujafikia. Tabia ya watu flan flan, kulazimisha kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza inawafanya wafanye mengi yasiyompendeza Mungu ili kufikia malengo yao.
Umewahi kujiuliza unaishi hapa duniani kwa takriban miaka 70 au 80 (pengine umeshamaliza 50 au 60 tayari) ambapo iliyobakia ni michache sana ukilinganisha na ambayo umesha ishi..
Umewahi kujiuliza waliokufa miaka pengine 1000 na zaidi iliyopita wapo wapi na yapi wanapitia?
Sasa kwa nini utende yasiyofaa kwa wengine ili utajirike na kunufaika na huo utajiri pengine kwa miaka 20 iliyobakia kwenye maisha yako halafu ukifa ukasote kwa Mungu pengine kwa zaidi ya miaka 1000???
SIKU ZA MWISHO NI NGUMU KULIKO UGUMU WOWOTE AMBAO BINADAM AMEWAHI KUUWAZIA.
ILA MUNGU AMETUPA NAFASI YA KUTUBU NA KUSAMEHEWA HIVYO CHUKUA HATUA SASA!