Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
mbona unahamaki kuulizwa idadi best? na huyo muulizaji huwa anataka kujua nini? yeye ajaribu akiona inalipa aendelee, akiona hailipi si achape lapa tu..................... shida iko wapi?nyamayao una hasira leo... mimi sijawai kucheat wala sitokaa ila si rahis i mwanaume kujua siri zangu...kwanza ni upuuzi kuulizana umetembea na wangapi kama vipi watuwekee luku zisome units.ikitoka si imetoka jamani no ya nini?
Is it because they are better at keeping secrets or is it because they are better at lying or is it because they are better at both?
Women cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...
Reason reason reason, hivi kuna sababu yoyote ya kucheat? mi naona tunajitengenezea tu.... na ndio maana mara nyingi huwa tukimaliza tunajuta, tunajuta sababu hatukuwa na sababu ya kutufanya tucheat, hata iwejeWomen cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa seriousHapo ndio mnapojidanganya sasa cheater ni cheater tu hata mwanaume ana sababu zake na ukimuuliza unaweza kukubaliana naye katika wizi wake.Sasa kama mama ameambiwa na daktari apumzike mpaka muda wa kujifungua ufike na baada ya hapo asubiri tena miezi mingine mitatu,kuna mwanaume kweli anayeweza adhabu hiyo..??
mbona unahamaki kuulizwa idadi best? na huyo muulizaji huwa anataka kujua nini? yeye ajaribu akiona inalipa aendelee, akiona hailipi si achape lapa tu..................... shida iko wapi?
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa serious
si ndo hapo? lakini wakaka wengi wana tabia hizo. anachezea wadada wa watu weeeeeeeeeeeeeeeee, halafu anapotaka kuoa anatafuta binti aliyetulia, na wengine wanathubutu kutafuta mabikra.Napenda wanawake wanaojiamini kama wewe,sasa kama mimi nina msururu wa binadamu zaidi ya mia waliokutangulia kwa nini nitake kuwa wa kwanza kwako wakati wewe haukuwa wa kwanza kwangu...Big up mammie
Women cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...
hiyo kitu iliyo ndani ya miili yenu ipo wake enu wanapokuwa na matatizo tu, au hata na nyie mnapokuwa mnaumwa kiasi cha kushindwa yale mambo yetu hiyo kitu inakuwepo ila mnavumilia tu? kama mnaweza kuvumilia kipindi hicho, unashindwaje kuvumilia mwenzio anapokuwa gonjwa?Ubinadamu wala haujapotea ni kwa kuwa tu hauelewi kinachoendelea ndani ya mwili wa mwanaume katika kipindi hiki anapolazimishwa kuikosa hii kitu,na hapa ndio umuhimu wa kutunza siri unapokuja.....................
me too NN.That women cheat for a reason is nothing but a bunch of fatuous nonsense and a lame attempt to excuse bad behavior. I just don't buy it.
hiyo kitu iliyo ndani ya miili yenu ipo wake enu wanapokuwa na matatizo tu, au hata na nyie mnapokuwa mnaumwa kiasi cha kushindwa yale mambo yetu hiyo kitu inakuwepo ila mnavumilia tu? kama mnaweza kuvumilia kipindi hicho, unashindwaje kuvumilia mwenzio anapokuwa gonjwa?
me too NN.
nasisitiza kuwa hakuna sababu ya kucheat
Reason reason reason, hivi kuna sababu yoyote ya kucheat? mi naona tunajitengenezea tu.... na ndio maana mara nyingi huwa tukimaliza tunajuta, tunajuta sababu hatukuwa na sababu ya kutufanya tucheat, hata iweje
Napinga,kungekuwa hakuna sababu ya kucheat basi watu wasingecheat................
Sikuelewi vibaya kabisa dada yangu Elizabeth, nilichokuwa najaribu kusema tu ni kwamba hakuna sababu yoyote inayoweza kumfanya mtu yeyote acheat, uwe mke au mmeSitetei cheaters lakini najaribu kuangalia tu from a woman's point of view. Labda niseme a "valid reason" Once you are in a situation ndipo unaelewa zaidi sasa nimejaribu kuangalia hapo.
Usinifikiri vibaya dada @FixedPoint miye mwenyewe nishawahi kuchitiwa na i think hakuna justification ya hiyo kitu
watu wanacheat tu sababu ya tamaa zao za mwili na si kingine. sasa hiyo huwezi kusema ni sababu ya kucheatNapinga,kungekuwa hakuna sababu ya kucheat basi watu wasingecheat................
That women cheat for a reason is nothing but a bunch of fatuous nonsense and a lame attempt to excuse bad behavior. I just don't buy it.