Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama jambo linajulikana sio habari tena.


Kwa sasa hoja za kitaifa ishu za maisha magumu ,tozo , uzembe kazini, mfumuko wa bei,na n.k ishu ya katiba CCM ya Samia imesha sema watawapa sasa lisu aje na ishu za msingi sio za kujiita chiba hana analojua kuhusiana na maisha ya wananchi wala nini anawaza maisha yake tu.



1. Hoja ni kiinua mgongo chake

2. Kuishi Ulaya kwa tabu kama mgonjwa

3. Kutembelewa na makamu wa rais akiwa hospitali

4. Dereva wake alipo

5. Katiba na mikutano ya siasa( hii walishakubaliana na CCM

Kama kuna mtu anadhani kuna jipya kwa lisu atasubili sana.


Anadai anaiamini zaidi CCM ya kuliko wapinzani wenzake huyu hayuko sawa kwani UKAWA vipi tena


USSR
 
Unateseka sana Lissu amekutawala kwenye Ubongo wako ...kifupi wewe ni Mwathirika wa Kisaikojia...Ukisikia neno Lissu ..uchungu tayari hata kutaga..
 
4. Kasema alipo na njia za kumuhoji
 

Nikimuangalia Lissu napata huzuni sana, Lissu alikuwa mzima, leo ni kilema. Na anatambua kabisa watu wanamkejeli kwa kumuita Chiba.

Mungu ataendelea kushughulika na wote waliohusika kumfanya awe alivyo leo. Kuanzia aliyepanga hadi mtekelezaji hadi yule aliyeshiriki kumnyanyasa na mshahara wake kama Mbunge.
 
Wananchi tuliaminishwa ushetani kuwachukia upinzani.

Hii dhambi inaleta laana kubwa sana kwa nchi yetu.

Tujifunze kupimq kila tunachoambiwa.
 
Yaani umetawaliwa na hisia umeshindwa hata kuelewa the core point ameongea vitu rahisi AMBAVYO hata mtoto wa nursery angemuelewa mimi huwa sifatilii mambo haya ila nimemsikiliza mwanzo mpaka mwisho na hakuna sehemu ambayo hajaeleweka ilibidi useme mtangazaji alikuwa anauliza nini mpaka akaongelea kuhusu dereva wake,hoja ya kiinua mgongo n.k hoja yake ilikuwa ni katiba mpya
 
Ulitaka usikie nn kutoka kwake ili uridhike ???

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
 
Labda hiyo ndio sala ya Chadema.
 
Wengine walikua chini ya miaka 18.mwaka 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…