Hoja za Lissu ni zilezile za tangu aje Tanzania kugombea Urais 2020

Sidhani kama kuna mtu anakataa Tundu Lissu kulia.

Sidhani kama kumtaja taja Hayati Magufuli ni hivi na vile ni kulia-
...binafsi naweza sema anamchafua ili yeye aonekane ni bora yake- kumbe jamaa ni lidikteta hatare.

Maumivu yalioipata nchi hii ni makubwa kwa.namno yeyote ile unayoangalia jambo la Kuumia, kuumizwa. ..Machozi hayakuwa ya mamba wala vilio havikuwa vya fisi tuliyoyaona na vilio tulivyosikia ndii ulikuwa mustakabali wa nchi.... Vidonda bado vibichi, yeye anakuja kutonesha tu. Kuna watu na ndevu za masikioni wanaona hayo

Naamini ana uwezo wa kufikisha ujumbe bila ya kutaka/kulazimisha huruma huruma. Kumbuka alikuwepo 2020 kwenye kinyanga'nyiro hatukusikia haya tunayoyasikia, kulikoni?

Nikupe nayoyaona?

Wamefinywa midomo- gagged-kuzungumzia CCM au Raisi moja kwa moja;amekiri hayo juzi kiaina kwa madai yeye hawezi kuzungumzia mambo ambayo mwenyekiti wake anajadiliana na CCM! kwa hivyo yeye hana issue zaidi ya kuonyesha makovu.
Akionesha makovu inakuuma nini? Mwache aoneshe, atachoka. Naona bado unamchagulia namna ya kulia.
 
Ulitaka nikujibu vipi sasa?
Na wapi hapo nimesema akionyesha makovu naumia?

Hilo shauri lake. Na wewe usinichagulie namna ya kumuongelea Lidikteta Lisuu

pyu pyu pyu pyu x4
 
Nilijua tu unamchukia Lissu, ulijifanya ku- sugarcoat thread yako. Mwache usimchagulie namna ya kulia. Ni haki yake.
 
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama jambo linajulikana sio habari tena.

Kwa sasa hoja za kitaifa ishu za maisha magumu ,tozo , uzembe kazini, mfumuko wa bei,na n.k ishu ya katiba CCM ya Samia imesha sema watawapa sasa lisu aje na ishu za msingi sio za kujiita chiba hana analojua kuhusiana na maisha ya wananchi wala nini anawaza maisha yake tu.

1. Hoja ni kiinua mgongo chake

2. Kuishi Ulaya kwa tabu kama mgonjwa

3. Kutembelewa na makamu wa rais akiwa hospitali

4. Dereva wake alipo

5. Katiba na mikutano ya siasa( hii walishakubaliana na CCM

Kama kuna mtu anadhani kuna jipya kwa lisu atasubili sana.

Anadai anaiamini zaidi CCM ya kuliko wapinzani wenzake huyu hayuko sawa kwani UKAWA vipi tena

USSR
Kwani wewe si yule yule, umebadilika nini?
 
Eti kaenda kijijini kwao kuonyesha makovu yake, duh. Hilo lijamaa limeshageuza makovu kuwa agenda kuu.
Kuna jamaa omba omba yeye kila akikuona anakuonyesha kidonda chake akiombea hela za matibabu

Na yeye anataka mafao yake ila sympathy anazitafuta kwa nguvu sana

Ana haki zake ila sasa imekuwa zaidi
 
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama jambo linajulikana sio habari tena.

Kwa sasa hoja za kitaifa ishu za maisha magumu ,tozo , uzembe kazini, mfumuko wa bei,na n.k ishu ya katiba CCM ya Samia imesha sema watawapa sasa lisu aje na ishu za msingi sio za kujiita chiba hana analojua kuhusiana na maisha ya wananchi wala nini anawaza maisha yake tu.

1. Hoja ni kiinua mgongo chake

2. Kuishi Ulaya kwa tabu kama mgonjwa

3. Kutembelewa na makamu wa rais akiwa hospitali

4. Dereva wake alipo

5. Katiba na mikutano ya siasa( hii walishakubaliana na CCM

Kama kuna mtu anadhani kuna jipya kwa lisu atasubili sana.

Anadai anaiamini zaidi CCM ya kuliko wapinzani wenzake huyu hayuko sawa kwani UKAWA vipi tena

USSR
Hana jipya lakini Sukuma Gang mko hapa 24/7 kumjadili angalia kwa siku mnaanzisha nyuzi zaidi ya nyuzi ishirini juu ya Lissu,hakika nyie ni wapumbavu sana
 
Aisee Lissu hana jipya; ni matatizo yake binafsi na jamii inayafahamu sana maana taarifa za yeye kushambuliwa na kukimbilia Ulaya sio jambo gani masikioni mwa watanzania kama ni pole tulimpa sana sasa maisha lazima yaendelee tu ,kwa waliosomea mambo ya habari watakubaliana na mimi kuwa kama jambo linajulikana sio habari tena.

Kwa sasa hoja za kitaifa ishu za maisha magumu ,tozo , uzembe kazini, mfumuko wa bei,na n.k ishu ya katiba CCM ya Samia imesha sema watawapa sasa lisu aje na ishu za msingi sio za kujiita chiba hana analojua kuhusiana na maisha ya wananchi wala nini anawaza maisha yake tu.

1. Hoja ni kiinua mgongo chake

2. Kuishi Ulaya kwa tabu kama mgonjwa

3. Kutembelewa na makamu wa rais akiwa hospitali

4. Dereva wake alipo

5. Katiba na mikutano ya siasa( hii walishakubaliana na CCM

Kama kuna mtu anadhani kuna jipya kwa lisu atasubili sana.

Anadai anaiamini zaidi CCM ya kuliko wapinzani wenzake huyu hayuko sawa kwani UKAWA vipi tena

USSR
Weye huwa una kaufala flani hivi na kujidai umeuzoea mji.Acha ujingaujinga.Anayoyasema Lissu yawe mapya au yamezeeka,ni kweli au si kweli?Jikite hapo.Hizo chuki na miujinga achia hawara yako!
 
Back
Top Bottom