Hongera Haji Manara kwa kupewa kazi ya usemaji wa kampuni ya Tigo

Hapa Jamii Forum. Pamejaa Wabobezi wenye hulka ya HASADI na CHUKI na KUKATISHA TAMAA MAPEMA... Kila moja wetu anajifanya anamjua vizuri Bwana HAJI S. MANARA. Tunasahau msemo usemao "Lilopabgwa na mwenyezimgu hamna kiumbe wakulifikia na kulipangua."
Ni vyema na busara tukiwa miongoni mwa wale wanaomtakia mafanyikio mema mwenzetu. Kwa kua amepatia.
Kupata utukufu na ukubwa wa ukalimani wa kuyisemea Kampuni kubwa inaomiliki mitandao miwili kwa pamoja hapa Tanzania. (Tigo na Zantel) sio jambo rahisi kupewa mtoto wa "Mpate Mpatae) .mwenyewe atazidi kumshukuru muumba wake kwa hatua aliomfikisha.
Na mimi ntakua miongoni mwa wale wengi wanao muombea kwa mwenyezimgu amsahilishie na ampe ufanisi mzuri ktk majukumu mapyia....
 
Ana nyota haswaa
Alihamia yanga na watu wengi sana tulimfata
Ngoja nikanunue line ya tigo
 
Ni kweli

Na kuwa chawa mfano kina Mwijaku, Baba levo n.k
 
Ataoa tena soon...![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ