Hongera kwa Wabunge na Viongozi wa Upinzani waliogoma kuuza utu wao

Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.
Elli Mshana
Kumbuka imenenwa mwisho wa dhiki ni faraja.......

Wabunge wa Chadema wamepitia safari ngumu sana ya kisiasa, mithili ya yale waliyopitia kina Mussa kule Jangwani Misri, katika ile safari ya ahadi.....

Hatimaye ushindi umekaribia sana
 
Utu au njaa?
 
Hakika! Mungu ni mwaminifu
 
Pambalu ameliita Bunge la 11 ni Bunge La Ndugai maana lipo tofauti na mabunge mengine hili Bunge la ndugai baada ya kuisimamia serikali lenyewe ndio linasimamiwa na kupewa maelekezo kutoka serikalini.
Hahahaha kweli kabisa
 
Siku ya Leo ni siku nzuri sana kwa wale wote ambao walivumilia ushawishi wa kuuza ubinaadamu wao kwa kununuliwa kama bidhaaa ....
Kwa wale walikubali kuuza ubinadamu wao wengi mwisho wa safari yao kisiasa ni leo .......
Ukitaka kuamini mtafute Said Arfi ambaye alikuwa na heshima kubwa nchi hii lakini leo hiii ukikutana naye anachekwa hata na watoto wadogo...na ni choka mbaya ..hakuna kitu kizuri duniani kama msimamo...
 
Duh umenikumbusha hilo jina Arfi
 
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.
Hatuna cha kuwalipa watetezi wetu wa kweli tuwaombee tu kwa Mungu wawe na maisha marefu afya njema na mfanikio makubwa hata wakiwa nje ya bunge,Ni wazalendo wetu namba moja kwa Sasa baada ya Mwl J K Nyerere,walikuwa na nafasi kubwa ya kuusaliti utu na utu wetu Watanzania wakafuata maslahi makubwa ya upande wa pili, lakini kamwe hawakufanya hivyo,kwa dhati kabisa nawapongeza sana wapendwa wetu,sijawasahau wale ambao waliamua kuuza utu wao kwa vipande vya fedha/vyeo pia nawapongeza pia maana walichagua kilicho bora pesa/vyeo na si utu.
 
Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.

Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.

Hongereni sana, haikua rahisi.
Mungu awasimamie na aendelee kuwatia nguvu dhidi ya malaika mweusi wa Chatto
 
Back
Top Bottom