Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Sasa hivi wapambe wameshamjulia jiwe ,hata wakifanya madudu as long unamsifu hukufanyi kitu
mwenye yesu huyu hapa
View attachment 1479989
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenye yesu huyu hapa
View attachment 1479989
Kuna sehemu umesoma nimesema hiyo picha in ubaya?Ukiambiwa nyie ni mbumbumbu mnarusha ngumi hewani, sasa kwenye hiyo picha kuna ubaya gani?
Mkuu vipi hali ya binti yetu Gekuru anatoboa??Wale malaya wa kisiasa wanaona aibu kubwa sn
Tupe up dates Mkuu kwani Monduli kuna nini??Hujasikia na yule kule Monduli
Elli MshanaNajua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.
Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.
Hongereni sana, haikua rahisi.
Utu au njaa?Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.
Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.
Hongereni sana, haikua rahisi.
ChaguaUtu au njaa?
Hakika! Mungu ni mwaminifuElli Mshana
Kumbuka imenenwa mwisho wa dhiki ni faraja.......
Wabunge wa Chadema wamepitia safari ngumu sana ya kisiasa, mithili ya yale waliyopitia kina Mussa kule Jangwani Misri, katika ile safari ya ahadi.....
Hatimaye ushindi umekaribia sana
Wanamfyekelea mbaliTupe up dates Mkuu kwani Monduli kuna nini??
Hahahaha kweli kabisaPambalu ameliita Bunge la 11 ni Bunge La Ndugai maana lipo tofauti na mabunge mengine hili Bunge la ndugai baada ya kuisimamia serikali lenyewe ndio linasimamiwa na kupewa maelekezo kutoka serikalini.
Je kuhama chama ni umalaya au democrasiaWale malaya wa kisiasa wanaona aibu kubwa sn
Yule si ameshaunga undugu na yule mhutu hadi kapewa 70 ilhali aliomba 50, hapo uhakika upo.Mkuu vipi hali ya binti yetu Gekuru anatoboa??
Kuwa katika vyama vya upinzani kwenye baadhi ya nchi za Afrika kunahitaji kuwa jasiri sana.Kabisa, imekuwa miaka 5 ya kidikteta na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu tusiruhusu tena mambo haya.
Ilà tu ukumbuke mpwa hakuna "career" inayolipa kwa sasa hapa nchini kama siasa. Hata wateswe vipi, wafungwe vipi lakini return yake hailinganishwi.
Ni kweli kabisa, hasa wamamaWanastahili pongezi hasa wanamama!
Duh umenikumbusha hilo jina ArfiSiku ya Leo ni siku nzuri sana kwa wale wote ambao walivumilia ushawishi wa kuuza ubinaadamu wao kwa kununuliwa kama bidhaaa ....
Kwa wale walikubali kuuza ubinadamu wao wengi mwisho wa safari yao kisiasa ni leo .......
Ukitaka kuamini mtafute Said Arfi ambaye alikuwa na heshima kubwa nchi hii lakini leo hiii ukikutana naye anachekwa hata na watoto wadogo...na ni choka mbaya ..hakuna kitu kizuri duniani kama msimamo...
Hatuna cha kuwalipa watetezi wetu wa kweli tuwaombee tu kwa Mungu wawe na maisha marefu afya njema na mfanikio makubwa hata wakiwa nje ya bunge,Ni wazalendo wetu namba moja kwa Sasa baada ya Mwl J K Nyerere,walikuwa na nafasi kubwa ya kuusaliti utu na utu wetu Watanzania wakafuata maslahi makubwa ya upande wa pili, lakini kamwe hawakufanya hivyo,kwa dhati kabisa nawapongeza sana wapendwa wetu,sijawasahau wale ambao waliamua kuuza utu wao kwa vipande vya fedha/vyeo pia nawapongeza pia maana walichagua kilicho bora pesa/vyeo na si utu.Najua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.
Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.
Hongereni sana, haikua rahisi.
Mungu awasimamie na aendelee kuwatia nguvu dhidi ya malaika mweusi wa ChattoNajua mmepitia mengi magumu, mmenyanyaswa, mmefungwa, mmeumizwa lakini hatimae miaka mitano ya mateso ya kusimamia na kuitetea haki inafikia mwisho. Hongera sana sana. MUNGU atawalipa.
Mnaingia kwenye kipindi kingine kigumu zaidi, this time watatumia Tume, Polisi na hata Green Guards, kuweni makini, simameni. Hatutaanguka wote.
Hongereni sana, haikua rahisi.