Kubadili mfumo vs kutengeneza gari ya kwanzanimeona mwananchi wameweka kuwa Gari la kwanza la umeme ndio limezinduliwa mbona huu uongo jamani? kwa nini msifamye tafiti kwanza jaman?
Kule Arusha watu wametengeneza Gari tena za Kwenda Mbugani ni full umeme tu!
acheni kukuza watu kwa kuwa tu wana majina makubwa! acheni kumtafutia mtu promo kiboya
angalieni hapa
UbunifuIvi Masoud ana taaluma gani nyingine ukiachana na utangazaji?
Ooh kumbeUbunifu
halafu sijui Kama TRA wana sheria ya kutoza Kodi magari yanayotumia umeme, naona visheria vyao vinaongelea motor vehicles. pengine they are still in deep sleepHaitumii engine hii , i think ina mota tu kwa chini humo, eneo la engine pako empty
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kuna comment kuhusu usajili imenikumbusha kuhusu pikipiki za umeme a.k.a Linkall.
nani kakwambia kirikuu mpya 0km ni 12m?Yani ashindane na kirikuu ambayo Bei yake ni chini karibia 12m afu hiyo yake kasema imemgarimu zaidi ya 40 atashindanaje Sasa hapo..????
Siyo cha kuunda, ni cha kuunganisha magari, pale ilipokua TAMCO.Kibaha kipo kiwanda cha kuunda magari
Vip kiusalama manake nilikuwa na tizama utengenezwaji wa benzi, gari wanalitengeneza then baadae wanalipima uwezo wako wa kustahimili ajali, gari linaendeshwa speed halafu linabamizwa, baada hapo wataalamu wenyewe wanafanya evaluation.
Sijajua hili kama limepitia hayo.
Fanya utafiti bei ya kirikuu mpya hiyo bei yako ni ya usedYani ashindane na kirikuu ambayo Bei yake ni chini karibia 12m afu hiyo yake kasema imemgarimu zaidi ya 40 atashindanaje Sasa hapo..????
Gari zote kabla ya kuingia sokoni lazima zipitie car crush test, sijajua wanatumia unit gani kupima uwezo wa gari kustahimili crush.Semi valid!
Statement yako imeniibulia maswali lukuki katika fikra. Hivi hiyo test, gari Kama Nissan Extrail, Prado, Voxy nk, na zenyewe zimepitia?
Sina ujuzi wowote wa magari.
Na kwa muundo huu hawez kupata wateja hii haiwezi kushindana na kirikuu
Nakazia [emoji4]Ukioa wake 4 unapata muda e kufikiria Mambo mengi, wale waliosema nanga itapaa ni uongo na uzandiki...
Hongera sana Masoud
Nimemsikia akisema aitakuwa kati ya 8m mpk 9mnani kakwambia kirikuu mpya 0km ni 12m?
😍Pongezi kwa kipanya na kampuni yake kwa uthubutu.
Kamwe asivunjike moyo kwa wivu wa kitz maana huwa hawapendi kuona mbongo anafanya mambo makubwa kama haya....either wataamkatisha tamaa kwa maneno ya ovyo....au kumpiga ushirikina.....hivyo tunamuombea sana Mungu amlinde lkn pia naye anapaswa sana kujiombea mara zote ili watanzania wapate manufaa kwa ubunifu wake huu
Aongeze angalau ifike hata 200kmameshasema .....
1. lina uwezo wa kwenda kilomita 60 hadi 80 kabla ya chaji kuisha
2.bei amesema ita-range kwenye 8m mpk 9m hapo haitazidi 10m ndio matarajio yake lbd yatokee mabadiliko
Utatembea km 60-80 kutegemea na mzigo uliobeba6 hours of charging..
TANESSCO NA LUKU ZAO HAPO VIPI?
utaitumia kwa muda gani bila kuichaji tena?