Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Eti tukio moja la bwawa likowapi una-conclude usmart wa spika!! Wakati mwingine mayala unakuwaga shallow sana... inasikitisha!!
Tulia tulimpima zama za bunge lenye vyama vingi yeye akiwa naibu spika,ukweli nikuwa hana weledi wa uongozi,hajui kuunganisha watu,hapendi wenyehoja tofauti,anahasira za kishamba na upungufu mkubwa wa busara za haraka!
Huwezi kumpima kupitia bunge hili la kijani kibichi, bunge lisilo na hoja yakinifu wala mbadala...
Mayala unachofanya ni UCHAWA japo umejiwekea kinga usihusishwe nao! Huwezi kujenerolaizi ubora wa mtu na cheap argument/ground kiasi hicho hasa kwa mtu mbobevu kwenye habari kamawewe!!
Hatujawahi kuwa na spika bora wa kumfananisha na Sitta pia hatujawa na dhaifu wa kumfananisha na nduguyo ndu gai
 
Upo very impressive, its okay to you! But tuna janga la kitaifa CAG kamwaga mamb hadharani, hivyo mkuu kwa uzoef wako ni vzr ungefanya uchambuz wa kiuandishi ukilaani ufisadi mkubwa ndan ya chama chako pendwa!!
 

Paskali, kisa ww mwanasheria, basi unatetea kabisa fani yako, huwezi kuwa fair sbb ya personal conflicts.. Sikutegemea useme Spika akiwa Engineer au kutoka Political science au Accounts au Finance au Business Admin. atafanya vizuri, sbb ww ni mwanasheria.
 
Binafsi huwa namuona hafai kuwa pale sababu anajikomba komba sana.

Spika alikua Sitta, Makinda maana wao kwa kweli walisaidia kwenye sakata la EPA, Richmond
Huyu hana sifa za hicho kiti na lazima ajikombe maana alibebwa na jiwe hadi kufika hapo alipo.

Kabla ya jiwe hakuna aliyekuwa na habari za huyo mtu
 
Hivi kumsifia mtu bila kuitwa chawa?. Huyu ni Mwalimu wangu wa 1st Year, nikamtabiria atakuwa spika, amekuwa Spika!. Kuna ubaya kumsifu?.
Hivyo ilipotokea wewe ni Mwanafunzi umekutana na Mwalimu wako mambo yanakuwa hivi Kuna ubaya?.
P
Mwanafunzi umezeeka kuliko mwalimu wako!!!
 
Alimbana yule mbunge wa kuvaa tai za Tanzania aelezee maana ya TRAB na TRAT akapoteana
Akamwambia tena aelezee maana ya asilimia tunamaanisha nini tunaposema watumiaji wa huduma fulani ni 16% tunamaanisha nini akapotea hii vita ya spika na mwigulu spika hajawahi kushindwa hata siku moja.
 
Hizo ni ngonjera tu maana wote ni watoto wa jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…