Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Uzuri upi huo?Ngoja tuupambe Uzi na picha yake nzuriView attachment 2579611
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri upi huo?Ngoja tuupambe Uzi na picha yake nzuriView attachment 2579611
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Upo very impressive, its okay to you! But tuna janga la kitaifa CAG kamwaga mamb hadharani, hivyo mkuu kwa uzoef wako ni vzr ungefanya uchambuz wa kiuandishi ukilaani ufisadi mkubwa ndan ya chama chako pendwa!!Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali nafuatilia Bunge Live, kiukweli kabisa nimekuwa very impressed na jinsi Madam Spika Dr. Tulia Akson anavyoliongoza Bunge.
Juzi aliifanua vizuri Ripoti ya CAG na kuifafanua ile kauli ya hasira ya Mama ya stupid na "Watupishe", ni walioongeza "cha juu" kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo, na sio wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.
Leo Mbunge wa Liwale kaibua kubwa kuliko Bungeni kuwa Bwawa la Mwalimu Nyerere, JNHPP japo liko Rufiji, bwawa hilo liko wilaya ya Liwale mkoani Lindi, na sio Mikoa ya Pwani na Morogoro, hivyo wilaya ya Liwale inastahili asilimia 60% ya mgao wa fedha za CSR ya JNHPP, lakini Liwale haikupata hata senti 5!.
Spika Tulia akaingilia kati kwa kumuuliza Mhe. Mbunge athibitishe Bwawa la JNHPP liko Liwale, Mbunge akasema lipo Liwale!.
Dr. Tulia akafafanua tofauti ya mahali Bwawa lilipo na the catchment area maji ya kulijaza bwawa yanakotoka!. Mhe. Mbunge akang'ang'ana bwawa liko Liwale!.
Dr. Tulia akamwambia Mhe Mbunge kuwa yeye na wabunge wamekwenda lilipo na hadi kubonyeza kitufe kukajaza maji, bwawa liko Rufiji na sio Liwale, hivyo akamwambia mbunge akae kwanza.
Kisha akauliza wahusika kama wapo waeleze Bunge bwawa la JNHPP liko wapi, ndipo akasimama Naibu Waziri wa Nishati, Byabato, akasema kwa mujibu wa ramani zao, bwawa la JNHPP liko Rufiji na Morogoro, ila kama Mbunge anayo ramani yake inayoonyesha bwawa liko Liwale, ailete na kuwaelimisha wengine tuko tayari kujifunza!.
Mbunge mwingine akasimama kuchangia kuwa bwawa liko Rufiji ila the catchment area ya maji ya bwawa hilo yanatoka Liwale.
Ndipo Spika Tulia akampiga darasa Mbunge huyo kuwa bwawa la JNHPP liko Rufiji ila maji ya kulijaza yanaweza kutiririka kutoka popote na kumruhusu kumalizia kuchangia.
Hii ndio faida ya kuwa na Spika msomi wa sheria, natumaini wengi unakumbuka uendeshaji wa Bunge enzi za Spika Sitta pia alikuwa ni msomi wa sheria.
Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori
Ngoja niwape mastori ya Mimi na Dr. Tulia Akson, kwa msiopenda mastori jump kule chini
Tanzania tunakwama baadhi ya maeneo kwasababu tuna viongozi vilaza!. We can afford kuwa na wabunge vilaza, ndani ya Bunge la JMT but we can't afford kuwa na wabunge vilaza kwenye Bunge la EALA! Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Ili Tanzania tuweze kupata viongozi bora,, the best of the best, hatuwezi kuuendeleza ule ujinga uliochomekewa ndani ya katiba yetu kiubatili, kuwaachia kakikundi ka watu wachache kuamua huyu ni wenzetu mpe uongozi, hata kama ni vilaza!, na huyu sii wenzetu kata jina tupa kule, hatumuhitaji, hata kama ni the best bright and Brilliant
Kwa maoni yangu, nashauri Spika asitokane na ukanda wa chama cha siasa, Spika Dr. Tulia huyu, tunayemsifu leo, kuwa anakwenda kuwa Spika bora ndio Dr. Tulia yule yule aliye naibu Spika chini ya bora Spika, na alinyamaza kimya wakati katiba yetu ikikanyagwa Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?
Hitimisho,
Nahitimisha kwa lile swali, la msingi la makala hii, kufuatia Spika Sitta na Spika Dr. Tulia Akson, ambao ni wanasheria, kuwa so good kwenye uendeshaji wa Bunge la JMT, kwasababu, they are smart, bright & brilliant! kuna haja sasa, kuanzia sasa kuhakikisha MaSpika wetu wote lazima wawe wanasheria?.
Wasalaam
Paskali
Hili la sasa ni bunge la chama kimojaBunge lingenoga Tundu Lissu kuwemo mule tuone jinsi wanavyooneshana makali ya kisheria na Tulia Ackson.
AibuuuuSipika isiyoelewa kazi yake.
Sipika inayojipendekeza kwa mhimili mwingine
Wanabodi,

Binafsi huwa namuona hafai kuwa pale sababu anajikomba komba sana.Aibuuuu
Huyu hana sifa za hicho kiti na lazima ajikombe maana alibebwa na jiwe hadi kufika hapo alipo.Binafsi huwa namuona hafai kuwa pale sababu anajikomba komba sana.
Spika alikua Sitta, Makinda maana wao kwa kweli walisaidia kwenye sakata la EPA, Richmond
Wewe kama sio mpigakura wa Mbeya mjini hata ukielezwa haitasaidia.H
Hebu tueleze jinsi alivyowagusa.
Hivi kumsifia mtu bila kuitwa chawa?. Huyu ni Mwalimu wangu wa 1st Year, nikamtabiria atakuwa spika, amekuwa Spika!. Kuna ubaya kumsifu?.
Hivyo ilipotokea wewe ni Mwanafunzi umekutana na Mwalimu wako mambo yanakuwa hivi
Kuna ubaya?.
P
Njaa mbaya Sana vitu vingine akivisema mtu mzima Ni Kama kukaa uchi mbele za watoto.Kumbe mimi bado zoba sana.Hivi pale ilitumika sheria zaidi na si jiografia?Naanza upya darasa la kwanza.
Hizo ni ngonjera tu maana wote ni watoto wa jiweAlimbana yule mbunge wa kuvaa tai za Tanzania aelezee maana ya TRAB na TRAT akapoteana
Akamwambia tena aelezee maana ya asilimia tunamaanisha nini tunaposema watumiaji wa huduma fulani ni 16% tunamaanisha nini akapotea hii vita ya spika na mwigulu spika hajawahi kushindwa hata siku moja.
Sure hapo anaharibu sanaWe jamaa tuko pamoja mwenendo wa spika sio mbaya ila apunguze mahaba kidogo kwa rais kama hatojali
Unajua kupenda aisee