Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hana usemiKwani Wenje anasema je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana usemiKwani Wenje anasema je?
In reality sio sahihi ila Kisiasa alikuwa ana send some sort of a massage kwamba nimeshaufahamu mchezo wenu !kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwazi
Iko vile bandugu !Inasikitisha sana.
Nisiache kukazia, wa aina zao, hawaaminiki leo wala jana!
Usoni wako kama watu.
😀😀Usikute mwenyewe hapo ni mdada, binti kiziwi au nasema uongo?
Lissu mwenyewe yuko Vitani hapa Tanzania.Hizo wanazivaa viongozi wanaoenda kuongea na wanajeshi wao walioko vitani huko iraq,
Senator Graham ni chizi?kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwazi
Wivu wa aina hiyo ni wa Kike.Amefanya chuki kama aliyekuwa ametombewa mkewe na lissu.
Kwenye ngome ya CCM 😆😁Bahi karibu na Kintinku ??!
😅😂
ni muhim sana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wakafanya kazi ya kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa weledi na uaminifu mkubwa, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama alivyo kibaraka huyu mwenye tamaa 🐒Wengineo wanadhani commentators ni wakaka tu.
Mifumo dume muhimu kuikataa kwa vitendo!
Tlaatlaah au nasema uongo?
hatahivyo ni mwanamke ulidhani maleWe jamaa Tlaatlaah unaweza kumloga Lissu unawivu kama mke mwenza.
Hakutelekezwa kweli na Lissu? Maana kuna mwanamke nasikia alikataliwa na Lissu yumo humu ana chuki naye sana.We jamaa Tlaatlaah unaweza kumloga Lissu unawivu kama mke mwenza.
Sasa hao ndio watatuvusha kweli?Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."
Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!
Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!
View attachment 3187256
Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?
Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?
Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?
Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.
Wanasema: "usoni kama watu."
Sasa hao ndio watatuvusha kweli?
Hata kula pamoja hawawezi?
ni muhim sana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wakafanya kazi ya kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa weledi na uaminifu mkubwa, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama alivyo kibaraka huyu mwenye tamaa 🐒
🤣🤣🤣Machoni kama Wema ila mioyoni ni Sepetu
One finger gone…. And boom chakademus is now swearing at everyone with just one finger to her members
One finger gone…. And boom chakademus is now swearing at everyone with just one finger to her members