Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

Hongera Tundu Antipas Lissu kwa kutambua usalama wako unawajibika nao wewe mwenyewe, wengine wote hawaaminiki!

I
kuvaa bullet proof vest juu ya shati ni dalili ya uchizi, sio uwazi
In reality sio sahihi ila Kisiasa alikuwa ana send some sort of a massage kwamba nimeshaufahamu mchezo wenu !
Kwani nani asiyejua katika Africa kuwa Siasa inachukuliwa kama ni uongo uongo unaofanana fanana na Ukweli ???!
Ndio maana mambo mengi ya Hovyo Hovyo watu huwa hawaoni tatizo kuyafanya na kisha kusingizia kwamba hizo ni siasa tu 😳🙄!

Kama angevaa hiyo bullet proof ndani ya nguo zake hakuna mtu angejua whats cooking behind the scenes !
 
Wengineo wanadhani commentators ni wakaka tu.

Mifumo dume muhimu kuikataa kwa vitendo!

Tlaatlaah au nasema uongo?
ni muhim sana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wakafanya kazi ya kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa weledi na uaminifu mkubwa, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama alivyo kibaraka huyu mwenye tamaa 🐒
 
Kwamba alisikika Wenje, kutokea Arusha Lissu aliugua sana tumbo! Kwa maneno yake kuwa: "alikuwa ana drive."

Bila shaka alichokula Lissu alikula na wenziwe. Sasa kumbe vipi "food poisoning" kumuathiri mmoja tu katika kundi?!

Ogopa sana kanda ya ziwa na ile nyongo pendwa ya mamba!

View attachment 3187256

Kwamba alishambuliwa Lissu Dodoma? Kwamba alinusurika kwenye shambulizi lile? Kwamba leo ndiyo kejeli zao hizi?

Kumbe kwanini yasiwepo mawazo kuwa si angekuwa alijifilia mbali kwenye shambulio lile? Labda kwa jinsi ile ile ya kile chama chakavu?

Kama wishful thinking zao ndiyo hizi kulikoni kum exempt nani wapi?

Usalama wako kwanza kamanda, watu si wema.

Wanasema: "usoni kama watu."
Sasa hao ndio watatuvusha kweli?

Hata kula pamoja hawawezi?
 
Hana usemi

Autoe wapi?

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
ni muhim sana wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wakafanya kazi ya kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kwa weledi na uaminifu mkubwa, ili iwe fundisho kwa wenye midomo na makelele kama alivyo kibaraka huyu mwenye tamaa 🐒

Kwa hakika:

IMG_20241225_180332.jpg
 
Back
Top Bottom