Sasa itakuwa kuna amakalio ya Mtanzania siyo ya Mchina tena.
Haya, wale ambao mnataka kumkosowa Mwenyezi Mungu alivyowaumba, nendeni mkatangulizwe mapema, kwa pesa zenu wenyewe.
 
Namshukuru Mungu kwenye kipengere cha tamaa kwangu alinitendea/yaani najikubali, kuhangaika na mwili/kitu siweziπŸ˜‚πŸ˜‚
Tuoneshe picha pm tuone kama yaliyomo yamo na unajikunali kweli 😁😁
 
Sasa itakuwa kuna amakalio ya Mtanzania siyo ya Mchina tena.
Haya, wale ambao mnataka kumkosowa Mwenyezi Mungu alivyowaumba, nendeni mkatangulizwe mapema, kwa pesa zenu wenyewe.
Tunaita ya Mlonganzila 🀣🀣
 
Sasa itakuwa kuna amakalio ya Mtanzania siyo ya Mchina tena.
Haya, wale ambao mnataka kumkosowa Mwenyezi Mungu alivyowaumba, nendeni mkatangulizwe mapema, kwa pesa zenu wenyewe.
Kama ingekuwa ni kumkosoa Mungu alivyokuumba isingewezekana. Hamna mtoto anayezaliwa na matako makubwa au matiti makubwa. Yanakua Accord to factors nyingi including chakula, mazingira, madawa, lyfstyle, genetics, hormones etc. Mi nikiskia mtu anasema hoo sijui Mungu kakuumba hivi...cjui Nini..bac usile, usiende gym..Baki tu Mungu afanyw miujiza mwili ujijenge. Tuache kujikosha na ujinga.
 
Ex wangu jiandae dawa yako ishapatikana, si uliniacha kisa sina hips utajua hujui shenzy πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Yaani ndo yamezid kushuka thamni kama ilivo adimu kumpata mwanamke mwenye chocolate colour au mweusi sikuhiz na itakuwa tabu kumpata mwanamke asie na Tako siku zijazoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 ila weusi mbona bado tupo wengi sio wote tunaweza kununua mikorogo
 
Me nataka hipusi donti lai ili washkaji zako waseme raraa reree ana chuma cha moto 🀣🀣🀣
Kiuno napenda kukikamatia hivyo hivyo jinsi kilivyo kutoka kwa mama kitu nachuroooooo πŸ˜‹πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…