peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
-
- #81
Yamefanyika 100% na kuna mkono wa mtu mkubwa sana .Huko anakoongelea mtoa mada ni kijijini haya yanaweza kufanyika na mtu asijue
Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha
Bila picha hii taarifa ni batili.. [emoji23]Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..Yamefanyika 100% na kuna mkono wa mtu mkubwa sana .
Kilichojengwa huko Sio kitu cha kawaida mkuu
Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha
Hofu yangu tu.. wamejenga kwa kufata vigezo vya maeneo yaliyopitiwa na Bonde la ufa??..Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.
Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.
Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?
Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?
Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.
Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Ni maji ya chai kushuka chini wanakofuga farasiKutoka maji ya chai pana umbali gani mkuu niende apo saivi nikatalii
Tukiona hiyo picha tutakutajia mwenyewe , hii ndio JFPicha ya jengo mnatumiwa soon
Eneo hilo hilo jirani na hapoNi maji ya chai kushuka chini wanakofuga farasi
Ndo kusema wapiga dili wamerudiiii.Ila Sasa hivi matajiri wanapumua .Kuna gorofa pale africana lilianza kujengwa kipindi cha kikwete mwishoni,alipoingia magufuli likasimama mazimaaa kujengwa .ila alipoingia Samia naona ujenzi unakaribia kuisha
Ubarikiwe sana kwa kufuatilia ukweli huoMkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.
Huenda wao ni bosheni tu.
Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
Walikuwa wanasubiri JPM aondokeNdo kusema wapiga dili wamerudiiii.
Halafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !Mkuu nimefuatilia hili jambo lina ukweli kuna hotel nyota 5 inajengwa..
Na wamiliki ni mashombe flani ya Tanga.
Huenda wao ni bosheni tu.
Zinajengwa hotel 2 tofauti kws mujibu wa mtoa habari wangu
Mkuu hakuna ghorofa 40 huko walq lami.Ubarikiwe sana kwa kufuatilia ukweli huo
Haya Ni majunguIli muone kazi ya Riziwani
Kwa taarifa za hivi punde hakuna jengo hilo la ghorofa 40 bali ghorofa hazizidi 5 majengo kadhaa labda pawepo mpango tu..na lami hakunaHalafu hii staili ya "bosheni" imeibuka sana sasa hivi , hata kule Lindi kuna hotel kabambe inajengwa lakini kapewa mwarabu !
Naambiwa ni kweli huo mjengo upo Maji ya Chai.Usijisumbue mkuu, Hakuna kitu kama hicho, Ngorongoro building yenye ghorofa 12 inaonekana mji mzima, ukiwa Nanja hadi waya, njiro hadi muriet linaonekana, hilo la ghorofa 40 si tungeliona hata tukiwa chumban mkuu? Huyo jamaa ameota!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app