Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Uzi,kama huu bila picha tunaona kama machungu tu,,umeshindwa hata kuja na picha
 
Pale opposite na kituo cha mafuta cha Puma?
Njia panda ya kwenda white sand .pale Kuna bank ya BOA.
KUNA kituo ndio cha mafuta ila sikikumbuki na pembeni yake Kuna benk Nmb Kama sijakosea
 
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Maneno bila picha hayana maana yoyote ulikuwa una haraka ya nini umeacha kupiga picha?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unajua usalama wa airport yoyote na urefu wa majengo kwa kilomita mraba 15?
Au umezoea kuliwa kimasihara?
Njoo PM nitakupa number yangu
Stori za vijiweni nilipo na airport ni kilometa mbili tu sijui Sasa unataka semaje by the way sifir ita wengne watakuja
 
Mtoa post katuyeyusha sana! Kutuma picha tu, mpaka tumbembeleze kweli? Hii sio sawa.
 
Stori za vijiweni nilipo na airport ni kilometa mbili tu sijui Sasa unataka semaje by the way sifir ita wengne watakuja
Hapo kilomita mbili unapojiuza kuna gorofa 40 mumy?
 
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Weka picha
 
Endeleeni kushangaa huu uzi ila hakuna kiongozi amejitokeza kujibu chochote .
Ukweli umefika na picha zinatumwa
 
Kuna vyombo vya Serikali nimewaamsha leo , waende eneo husika kuangalia, kuchunguza Mwisho ukweli utapatikana ila tumepigwa na kitu kizito.
TAKUKURU wilaya ya Meru wanalijua ila wamepiga kimyaaaa
Sijaelewa mantiki ya huu uzi je ni dhambi gani kujenga jengo la ghorofa 40 ndani ya Tanzania? ni mpaka ghorofa ngapi zinaruhusiwa mwisho?
na kwenye huu uzi Kuna msatari unasema kwamba jengo limeisha na halina kibao chenye kuonyesha mmliki ni nani sasa ikiwa jengo limeshaisha kibao cha ujenzi kinahusika tena vipi?
na wewe unayelishangaa hilo je go kwamba limejengwa bila mamlaka za serikali kuwa na taarifa je wewe mwenyewe ni mamlaka ipi ambaye hukupewa taarifa? ana kama kunao ukweli wa tuhuma zako hizi na pengine ikiwa wewe ni sehemu ya mamlaka ambayo ulipaswa kupewa taarifa je hakuna ama hufahamu hatua za kuchukua kisheria badala ya kutupia humu jf ambako siyo mamlaka za serikali,napata mashaka kwamba wewe ni kati ya watu wenye roho ya kuchukia maendeleo maana sikuona sababu ya wewe kulalamika.
 
Mtanikumbuka
 
Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali.

Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania.

Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika?

Mradi umekamilika ila Hakuna kibao cha CRB kuonyesha jina la mradi wala mmiliki wa mradi?

Barabara Za kuingia kwenye hotel hiyo zina lami balaa ila mradi umefichwa porini mradi wa matrilioni ya fedha.

Je Dar kuna jengo lenye ghorofa 40? Karibu maji ya chai arusha Tanzania mjionee maajabu ya baada ya kifo cha JPM.
Acha Umasikini wa fikira.
Fanya kazi mtoto wa kiume. Kesho Familia na Ukoo wako watapata Ajira hapo. Piga kazi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa mantiki ya huu uzi je ni dhambi gani kujenga jengo la ghorofa 40 ndani ya Tanzania? ni mpaka ghorofa ngapi zinaruhusiwa mwisho?
na kwenye huu uzi Kuna msatari unasema kwamba jengo limeisha na halina kibao chenye kuonyesha mmliki ni nani sasa ikiwa jengo limeshaisha kibao cha ujenzi kinahusika tena vipi?
na wewe unayelishangaa hilo je go kwamba limejengwa bila mamlaka za serikali kuwa na taarifa je wewe mwenyewe ni mamlaka ipi ambaye hukupewa taarifa? ana kama kunao ukweli wa tuhuma zako hizi na pengine ikiwa wewe ni sehemu ya mamlaka ambayo ulipaswa kupewa taarifa je hakuna ama hufahamu hatua za kuchukua kisheria badala ya kutupia humu jf ambako siyo mamlaka za serikali,napata mashaka kwamba wewe ni kati ya watu wenye roho ya kuchukia maendeleo maana sikuona sababu ya wewe kulalamika.
Aliyetuma ana tatizo la Afya ya Akili.

Back
Top Bottom