Sijaelewa mantiki ya huu uzi je ni dhambi gani kujenga jengo la ghorofa 40 ndani ya Tanzania? ni mpaka ghorofa ngapi zinaruhusiwa mwisho?
na kwenye huu uzi Kuna msatari unasema kwamba jengo limeisha na halina kibao chenye kuonyesha mmliki ni nani sasa ikiwa jengo limeshaisha kibao cha ujenzi kinahusika tena vipi?
na wewe unayelishangaa hilo je go kwamba limejengwa bila mamlaka za serikali kuwa na taarifa je wewe mwenyewe ni mamlaka ipi ambaye hukupewa taarifa? ana kama kunao ukweli wa tuhuma zako hizi na pengine ikiwa wewe ni sehemu ya mamlaka ambayo ulipaswa kupewa taarifa je hakuna ama hufahamu hatua za kuchukua kisheria badala ya kutupia humu jf ambako siyo mamlaka za serikali,napata mashaka kwamba wewe ni kati ya watu wenye roho ya kuchukia maendeleo maana sikuona sababu ya wewe kulalamika.