Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

badala ya kutulia na kusikiliza muda wote mi kupiga meza,yaani makofi na kupiga meza inameza muda mwingi wa hotuba,african people!!wapumbavu sana kwa kweli,unafiki utatupeleka pabaya
 
Vyombo vya habari ..japo sio kwa umuhimu
 
Tunasubiri

Mama tiririka na Mseleleko wa madaraja
 
Reactions: Lee
Mabadiriko kwa lengo la kukuza ufanisi na tija
 
MAMA TARATIBU ANAANZA KULITAWALA JUKWAA.

TUZIDI KUMUOMBEA MAMA MAANA JUKUMU ALILONALO SI JEPESI.
 
Mbona mama anapongeza tu na kushukuru tu anatupoteza au ndo itifaki i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…