Sisi tulidhani anatangaza kuachia ngazi tupumue hapo ndipo tulipopishana naye25 Aprili 2025
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Urais sio lelemama. Mungu ampe nguvu na hekima rais wetu.Nuru imepotea,nadhani usingizi hapati vizuri...siasa bhana🙌
Tupo nyuma yakoKiukweli, mimi binafsi na watu wote tunaoishi pamoja hapa nilipo hatukujua kama Rais anatoa hotuba leo, hatujaisikiliza na hatuna mpango wowote wa kuisikiliza.
25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA NA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Kiukweli, mimi binafsi na watu wote tunaoishi pamoja hapa nilipo hatukujua kama Rais anatoa hotuba leo, hatujaisikiliza na hatuna mpango wowote wa kuisikiliza.
Macho yake mekundu.Nuru imepotea,nadhani usingizi hapati vizuri...siasa bhana🙌
Mh,uongo...kapungua tu kidogoMacho yake mekundu.
Hotuba ni hopeless , haina mvuto….. pia Imekosa tija…. Aliemuandikia kamuingiza cha kiume …. Bad timing ….. kwa yanayoendelea …. Wengi wamepoteza heshima na matumaini nae ….. zamani ilikuwa ukisikia hotuba ya Rais … watu walikuwa wanawahi siti za mbele….25 Aprili 2025
JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA NA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA
Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.
Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.
Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.
Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Hapana angalia vizuri au labda miwani ndiyo imemfanya macho yaonekane mekundu.Mh,uongo...kapungua tu kidogo
🤣🤭Hapana angalia vizuri au labda miwani ndiyo imemfanya macho yaonekane mekundu.
Nimewauliza walio huko, mmesiliza Hotuba ya Madam… wakasema Madam ndio nani? Nikawaambia Our President SSH….. wakasema hatujui kama kuna hiyo kitu …. Tupo tunaangalia game ya Mamelodi… ikiisha tunaangalia ya Pyramid 🤣Kiukweli, mimi binafsi na watu wote tunaoishi pamoja hapa nilipo hatukujua kama Rais anatoa hotuba leo, hatujaisikiliza na hatuna mpango wowote wa kuisikiliza.
🤣🤣 Nikafikiri red-eyes imerudi.
Karlo hebu tuambie ulicho ambulia kwenye hiyo hotuba.Rais hawezi kutoa hotuba ya kila jambo analofikiria kila mtu, kwanza hotuba inatakiwa kubeba ujumbe wa jambo Fulani na kusudi ya hotuba yake imetimia.
Subiri Lissu awe Rais ili awapeni hotuba ya kumfurahisheni kila mwana ufipa
Kakwambia nani watu wanataka hata afiye pale kwenye kiti wakamtoe kama kinyonga aliyekaukia kwenye mtiSisi tulidhani anatangaza kuachia ngazi tupumie hapo ndipo tulipopishana naye