Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

25 Aprili 2025

JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA

Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.

Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.

Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.

Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa.

N.B
Mrejesho wa raia kwa viongozi ni jambo jema. Hii ndiyo nafasi adimu ya kuzungumza na viongozi moja kwa moja baada ya hotuba, matamko n.k kutoka kwa viongozi walio ktk ofisi za umma.
Yaani utoe mawazo mbadala kwa CCM ? wataalamu wa kujizima data, Nisawa na kutwanga maji kwenye kinu vile Vile kumaliza bundle lako tu

Kunyamaza siyo amani ball ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii

Hata hivyo tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Silence surrenders public responsibilities
 
Kwn alikuwa anahutubia taifa? Uwanja gani au alikuwa kwake ikulu na machawa zake? Kama nihivyo alikuwa anapngea tu huku akirekodiwa kiwastani hana mvuto kwnn tumfatirie mida yakuangalia mpira?
 
Kwn alikuwa anahutubia taifa? Uwanja gani au alikuwa kwake ikulu na machawa zake? Kama nihivyo alikuwa anapngea tu huku akirekodiwa kiwastani hana mvuto kwnn tumfatirie mida yakuangalia mpira?
 
Anaacha mambo magumu yanayohitaji majibu anaongelea ishu za kutoa nishani. So what?
She is not in touch with reality. She doesn’t know her obligation as president ingawaje anausaka URAIS kwa uvumba na ubani!!
Yeye na mkwe wake Mchengerwa wapo hapo kujilimbikizia mali kwa kuliibia Taifa!
Jamaa hiyo ndoa iko kimaslahi zaidi ; Urais ukiisha hakuna ndoa hapo!!🤪🤪
 
Rais hawezi kutoa hotuba ya kila jambo analofikiria kila mtu, kwanza hotuba inatakiwa kubeba ujumbe wa jambo Fulani na kusudi ya hotuba yake imetimia.

Subiri Lissu awe Rais ili awapeni hotuba ya kumfurahisheni kila mwana ufipa
🕑🔟0️⃣ Hana maono,hajui wakati gani anatakiwa aseme nini angalau kubadili mitazamo ya watu kumhusu.
🕑🔟0️⃣ Hajui kujinasua kwenye mitego ya kisiasa,muda mwingine CCM na mbwa wao (polisi) wamekuwa wakimuweka kwenye wakati mgumu Kwa matendo na maneno Yao lakini yeye huwa haoni kama wanamuua kisiasa
 
Hotuba ni hopeless , haina mvuto….. pia Imekosa tija…. Aliemuandikia kamuingiza cha kiume …. Bad timing ….. kwa yanayoendelea …. Wengi wamepoteza heshima na matumaini nae ….. zamani ilikuwa ukisikia hotuba ya Rais … watu walikuwa wanawahi siti za mbele….

Sasa kwenye hiyo hotuba kuna
Kipi kigeni au cha maana.

Samia Apumzike… amechoka na
Yeye anajua hilo

Nchi haina Dira…..anaonya taasisi za umma na binafsi kutokuwa juu ya sheria, really ? Hivi Madam yupo hata serious kweli ….? Usikute sisi ndio tupo serious wakati yeye wala….. she is just playing joke cards
Let's wait for Mei Mosi, labda hotuba ya sikukuu ya wafanyakazi itajibu maswali magumu
 
Timing mbovu, kwanza watz wanapenda sana mpira. Huko mitaani mabanda umiza walikuwa wanaangalia mpira wa CAF semi final, lakini hii ina maana kubwa sana kwenye personality na Hali ya mambo ilivyo .
 
25 Aprili 2025

JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA

Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa.

Je wewe kama mwananchi ulipata wasaa wa kuitazama au kuisikiliza ulikuwa na matarajio yapi hotuba hiyo ya mkuu wa nchi angegusia.

Uzi huu ni maalamu kwa ajili ya kutoa mrejesho, ili wananchi na viongozi wasitofautiane sana matarajio yao.

Na pia mrejesho wenu wananchi, unaweza kutoa dira kwa viongozi kuwa wananchi wana mambo gani wanadhani rais na wateule wake wangetekeleza na sababu zao ni zipi.
View attachment 3315718
Mheshimiwa Rais Samia Hassan alipokuwa anaongea na taifa.

N.B
Mrejesho wa raia kwa viongozi ni jambo jema. Hii ndiyo nafasi adimu ya kuzungumza na viongozi moja kwa moja baada ya hotuba, matamko n.k kutoka kwa viongozi walio ktk ofisi za umma.
Kina

Huyu bahati mbaya kwa tanganyika......sasa anaishi kwa hila kwenye kuongoza
 
Aisee ni hatari sana kuendelea kuwa na Mkuu wa majeshi asiye na Hekima na maarifa .

Hivi kwa hali ya kawaida tu unamzuia vipi makamu wa Mwenyekiti ,Karibu mkuu wa chama . Mwenyekiti wa Kanda ,Wajumbe wa Halmashauri kuu na viongozi kutoka mikoa mbalimbali kwenda Mahakamani kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa chama chako taifa . Nadhani hata shetani hana roho mbaya kiasi hicho .

Kwa yaliyotokea tulitegemea Rais atoe tamko la kulaani hata kinafiki.
Ukiwa na mama wa kambo wa aina ile ni wale wanaoweza kukumwagia maji ya moto au MAFUTA kabisa kisa umedokoa nyama jikoni .
Tuna Raisi katili kuliko black Mamba.
Mbaya zaidi ni katili kwa watu wasio na hatia . Wakati huo huo hana habari na Majizi wa mali za umma . Hilo ndilo linalothibitiha roho mbaya yake . Angekuwa ananyoosha wetu wabaya wanaoiba mali za umma hapo tungesema naonea huruma watanzania wanyonge lakini wapi ,watanzania hana habari nao na wenye haki zao kisiasa hana habari nao na viongozi wa dini pia hana habari nao hasa wale wa imani tofauti na ya kwake . Anajiona kama vile hii Nchi ni Mali ya Mumewe yaani kama vile amepewa uridthi wa nyumba ya mumewe na wengine ni watoto wa michepuko waliokuja kudai urithi bila utaratibu .
Hapana!!!!

Kuna stori moja inasema kuwa wakati Mungu anamuomba binafamu ,kuna malaika walimuuliza mbona unamuumba huyu kiumbe mwenye utashi wa kujua mema na mabaya ? Huyu atakwenda kuijaza dunia kwa ufisadi na kumwaga damu . Mungu akasema hamjui ninachokijua.

CCM chini ya Samia Imeijaza Tanganyika ufisadi na umwagaji wa damu lakini hatujui kile Mungu anachokijua .
Tumwachie Mungu.

Hivi kweli ilishindikana nini kuwaruhusu hata viongozi tu wa vyama vya upinzani kuingia Mahakamani wakati walikua hawafiki hata mimbili .

Wananchi wa kawaida walikua wametii ndio maana hawakwenda lakini waliokwenda ni viongozi wa Chadema peke yao.
Kodi zetu zitaendelea kuwaneemesha wauaji mpaka lini ?

Yaani haya majamaa yanayotokea na kuua watu yanapewa pesa nyingi katika kukamilisha uovu wao . Uchaguzi ukipita wanakaa bungeni akiwemo na hata Samia na kuanza kuwasema kuwa polisi wanatumia nguvu kubwa , wanabambikia watu kesi wanaua watu wasio na hatia ,wanachukua sheria mikononi n,k . Lakini kwa sasa anaona ni sawa ili tu akae madarakani .

Kwa nini akae kimya kuona jeshi lake linachukua sheria ,ikononi wakati sheria na mahakama vipi ?
Hivi hakuna magari ya kupakia mahabusu .

Pakiwa na Maandamano siku hizi hakuna Ambulace ,hakuna Gari la kufungua mahabusu badala yake watu wanalazwa chini na kukanyagwa kama takataka . Wakijeruhiwa wanabebwa kama mizigo kwenye gari za polisi badala ya Ambulace kwa lengo la kuwaacha wafie njiani .
Zamani hata wakati wa Mkoloni Mzungu watu wengi walikamatwa lakini walikua wanawekwa kwenye gari la kufungia watuhumiwa lililokua linafungwa na kofuli kama chumba . Leo wanakanywagwa chini kama vumbi ..
Hapana !!!
Viongozi wa dini zenye hofu ya Mungu wakionya na kukemea wanatishwa na kuweka watu wa kuwatukana kwenye mitandao na kusema eti ni kwa sababu ni Rais Muislamu .
Yaani usilam ndio unaopiga watu au kuiba kura au kuua watu ?

Hata Kikwete alikua CCM lakini Mwangosi alipouawa kikatili aliunda Tume kuchunguza ili kupunguza maumivu ya familia .

Ndio wale ni Chadema na kwa imani yake na Chama chake anawaona kama takataka tu hawana Haki lakini alitakiwa awaze familia zao na jamii inaowazunguka jinsi inavyokosa majibu kuwa kwenda kusikiliza kesi ya ndugu yao anayetakiwa kunyongwa imekua ni kosa la kuuawa au kuvunjwa miguu.?

Hivi hili kweli kwa binadamu yeyote tena mkuu wa nchi linahitaji ushauri au muda wa kulisemea . ?

Hapana !11
 
Kuna uwezekano mkubwa watu wengi hawakujishughulisha kuifuatilia hiyo hotuba yake. Na kwa hali ilivyo, hata siku za usoni atalazimika kutumia nguvu ya ziada kuhakikisha wananchi wanahudhuria mikutano yake ya hadhara. Maana hakubaliki.
 
Hotuba yake yote naipata kwenye kalenda. Je kulikuwa na ulazima wa yeye kuongea?
Yeye kaona ipo haja yakuongea na watoto wake, maana watoto walikuwa wanalia na wazazi wengine wakiona Mtoto analia anampa lawa lawa au atamuhaidi lawa lawa ili anyamaze.
 
Back
Top Bottom