Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021


Hiyo 30% nani kaitoa wa kuaminiwa ukimuangalia usoni usiwe na shaka kuwa kweli hii ni tarakimu sahihi?
 
Mkuu hiyo ndiyo diplomasia
When a diplomat says yes, he means perhaps; when he says perhaps, he means no; when he says no, he is no diplomat.
 
Sasa huyu hamjui na wala hana habari na Mungu. Labda Mungu mwenyewe ajifunue kwake kama anavyofanya kwa wengine wengi wa aina yake.

Unawezaje kujidharau na kuwadharaulisha unaowaongoza kwa kiwango hicho mbele ya macho ya walimwengu. Kaionesha dunia our approach towards corona pandemic was a bogus one. Asifikirie yeye ataonekana ni watofauti kwa vile kasema tumeamua kwenda na dunia inavyoenda kuhusu corona.

Alishindwa nini kuonesha agalau positive ingrediet moja ya kutofanya lockdown ambayo na Sweden waliifanya. Na akawambia ulimwengu matokeo yake tumezalisha vyakuka mashambani yakiwemo mahindi yaliyo jaa kwenye maghala yetu kiasi cha kusukwa sukwa na kukosa soko. Na aiombe UN kupitia WFP kuja kuwaunganisha wakulima watanzania wanapo nunua mahindi ya kupeleka misaada kwa wenye uhitaji wa chakula. Hata hivyo hili kulisemea ingekuwa ngumu maana sifa ingeenda kwa aliyebatizwa jina la ushamba.
 
Kwa hiyo 2025 utamtupa Lisu kulee na kumpa kura Samia wa ccm na hatimae Ccm kuibuka mshindi na Lisu kugaragazwa kama alivyogaragazwa na Nyarandu kwenye kamati kuu?
Naona umeanza mipasho.huna hoja pita hivii [emoji117]
 
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........



C&P
 
We endelea kula kulala bure tu hapo kwa dada yako...

Umejaa mihemko..
Sasa endeleeni kuipraise COVID 19..na endeleeni pokea pesa. Ambazo tunajua mnazipiga na leteni tu chanjo...

Watakapo waletea Order ya kulock nchi tusitafutane.

See what is happening in UGANDA..

Tukutane baadae.
 
Rudia tena
 
Vikao vya UN ni vizuri kwa wakuu kukutana na kutangaza nchi zao. Si vya kutatua jambo. Afrika imekuwa ikiomba kiti katika Baraza la Usalama kwa zaidi ya miongo miwili sasa! Hata jibu hakuna. Hivyo, msitarajie mengi.
 
wakati anahutubia kama hawa marais walikuwemo basi nihukumiwe - Biden, Xi Jinping, Emmanuel Macron, Vladimir Putin na Boris Johnson.
 
Toka nje hapo sasa hivi..chukua sample ya wa TZ watano tu... Waulize kipaumbele ambacho wanakitarajia toka kwa Mama kwa sasa ni nini!?? Ukipata hata mmoja atae taja 5 star hotel..au utalii..
Njoo hapa waambie Mods wanipe ban.
 
Toka nje hapo sasa hivi..chukua sample ya wa TZ watano tu... Waulize kipaumbele ambacho wanakitarajia toka kwa Mama kwa sasa ni nini!?? Ukipata hata mmoja atae taja 5 star hotel..au utalii..
Njoo hapa waambie Mods wanipe ban.

Sheria ya uwekezaji kama si jakosea na niko tayari kusahihishwa inasema muwekezaji lazima awe na mbia mwenza ambaye ni mzawa. Jiulize mbia wa hawa wawekezaji ni nani na kapatikana kwa utaratibu upi unaojulikana na ulio wazi. Ukikuta jina la hata mmachinga mmoja niambie.
 
Hongera mama,hii ni hatua njema kuelekea kuiunganisha nchi na jumuiya za kimataifa,tutoke kule tulipokuwa kwa last 5years
 
Hiyo 30% nani kaitoa wa kuaminiwa ukimuangalia usoni usiwe na shaka kuwa kweli hii ni tarakimu sahihi?
Last time nilisikia wamechanja watu 600,000. Thirty percent ya population ya Tanzania ni karibu 18,000,000/=. Wamefikisha huko wakati dose ilikuwa millioni moja?

Hii ni kwamba tunahitaji fedha kwa maendeleo ya nchi. Kwa hiyo hizo takwimu ni za kuwafurahisha watoaji hao ambao ndio waunda corona.

Kwa hiyo nimeelewa kwa nini hata hotuba ya mama ilikuwa ya jumla sana kumbe alijua hakuna wawtu wa kufuatilia.

Acha tupate fedha
 
Last time nilisikia wamechanja watu 600,000. Thirty percent ya population ya Tanzania ni karibu 18,000,000/=. Wamefikisha huko wakati dose ilikuwa millioni moja? ...
Kwa hiyo watoa fedha unafikiri ni wajinga hawezi kuelewa wanatapeliwa kwa takwimu. Umesha jua adhabu atakayo pewa anaye watapeli?

Sishangai mnapolilialia bila kutafuta na kujua sababu za kweli za mabalozi na mawakala wao kuhudhuria kesi ya Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…