Honestlly speaking, kila mtu anaona ki vyake. We see what we want to.
1. Nimeona kiingereza kizuri sana.
2. Naona unafiki wa kisiasa zaidi, kujipendekeza kwa dunia kubwa.
3.Naona kujihami dhidi ya tuhuma zinazovuja kutoka ndani kuhusu utawala bora wa sheria.
4. Maswala mtambuka kama jinsia, mazingira, na corona, kwamba hata sisi tumo msitusahau.
5. Uhalisia wa hotuba uko mbali sana kwa kuwa, hakuna kitu unachoweza kukifuatilia, kukitathimini ama kukisupport kutoka kwa hotuba.
6. Unapoongea unajpanga kuinvite wawekezaji bila hata kuzungumzia maeneo ama mazingira yanayoweza kuvutia wawekezaji.
7. Unaongelea habari za governance bila maeneo muhimu ya ama yanayopaisha nchi ama changamoto unazopambana nazo ni siasa zisizohalisi.
8. Unapoongea amani bila kutaja hatua unazochukua kwa matiship kama ugaidi wa Mbowe, unaoneakana unaficha mambo.
9. Mazingira yamekuwa changamoto, lakini si universal, Mpango gani wa kitaifa mnaofanya wa maziginra ambao hata UN wangeweza ku liberate kusuport juhudi. Ukisema women and girls enconomic empowerment, bila kutaja hata mkakati mbinu mmoa mnaoutumi akufikia maelngo na lini, na nini mngependa UN isaidie bado ni ngonjera. Isitoshe , the world has moved. Samia anajua poverty vizuri na hiyo ingelitosha kutengeneza mkakati wa kuivutia UN kussuport, iwapo watu wake wangekuwa ni wawajibikaji wazuri wak ukakatia kwa nia sahihi.
Ninaona tabia sugu ya serikali ya kukusanya kusanya vi maneno na vitaarifa ili kuzima moto kwa kutafa kuwafurahisha wageni inapohitajika. Objectivity haipo ndugu zangu, ni hadithi kama hadithi zingine, ni kunawa uso tu. Sioni kitu hapo.