Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Katika hotuba yake huko USA amedai mpaka kufikia katikati ya mwaka 2022 watanzania %70 watakuwa wamechanjwa, hao watanzania ni akina nani wakati sasa hivi ndo uviko imepamba moto na watanzania hawataki kuchanja?

Juzi kati tu akiwa hapa kawe alihoji wananchi Kama watachanja wakamjibu waziwazi kuwa hawachanji yeye atatumia mbinu gani kuwashawishi wachanje?

Hau anaongelea kinyume na kuwazuga wazungu ili wampe mkopo mwingine! Kuna chanjo milioni moja zimeletwa na zimetumika %30 tu na watu hawana habari nazo tena je atatumia mbinu gani kuwashawishi wananchi angalau wazimalize? Hau anasubiri mda huo ufike apike takwimu ili apewe mkopo tena.

Hiyo 30% nani kaitoa wa kuaminiwa ukimuangalia usoni usiwe na shaka kuwa kweli hii ni tarakimu sahihi?
 
Honestlly speaking, kila mtu anaona ki vyake. We see what we want to.

1. Nimeona kiingereza kizuri sana.

2. Naona unafiki wa kisiasa zaidi, kujipendekeza kwa dunia kubwa.

3.Naona kujihami dhidi ya tuhuma zinazovuja kutoka ndani kuhusu utawala bora wa sheria.

4. Maswala mtambuka kama jinsia, mazingira, na corona, kwamba hata sisi tumo msitusahau.

5. Uhalisia wa hotuba uko mbali sana kwa kuwa, hakuna kitu unachoweza kukifuatilia, kukitathimini ama kukisupport kutoka kwa hotuba.

6. Unapoongea unajpanga kuinvite wawekezaji bila hata kuzungumzia maeneo ama mazingira yanayoweza kuvutia wawekezaji.

7. Unaongelea habari za governance bila maeneo muhimu ya ama yanayopaisha nchi ama changamoto unazopambana nazo ni siasa zisizohalisi.

8. Unapoongea amani bila kutaja hatua unazochukua kwa matiship kama ugaidi wa Mbowe, unaoneakana unaficha mambo.

9. Mazingira yamekuwa changamoto, lakini si universal, Mpango gani wa kitaifa mnaofanya wa maziginra ambao hata UN wangeweza ku liberate kusuport juhudi. Ukisema women and girls enconomic empowerment, bila kutaja hata mkakati mbinu mmoa mnaoutumi akufikia maelngo na lini, na nini mngependa UN isaidie bado ni ngonjera. Isitoshe , the world has moved. Samia anajua poverty vizuri na hiyo ingelitosha kutengeneza mkakati wa kuivutia UN kussuport, iwapo watu wake wangekuwa ni wawajibikaji wazuri wak ukakatia kwa nia sahihi.

Ninaona tabia sugu ya serikali ya kukusanya kusanya vi maneno na vitaarifa ili kuzima moto kwa kutafa kuwafurahisha wageni inapohitajika. Objectivity haipo ndugu zangu, ni hadithi kama hadithi zingine, ni kunawa uso tu. Sioni kitu hapo.
Mkuu hiyo ndiyo diplomasia
When a diplomat says yes, he means perhaps; when he says perhaps, he means no; when he says no, he is no diplomat.
 
Sasa huyu hamjui na wala hana habari na Mungu. Labda Mungu mwenyewe ajifunue kwake kama anavyofanya kwa wengine wengi wa aina yake.

Unawezaje kujidharau na kuwadharaulisha unaowaongoza kwa kiwango hicho mbele ya macho ya walimwengu. Kaionesha dunia our approach towards corona pandemic was a bogus one. Asifikirie yeye ataonekana ni watofauti kwa vile kasema tumeamua kwenda na dunia inavyoenda kuhusu corona.

Alishindwa nini kuonesha agalau positive ingrediet moja ya kutofanya lockdown ambayo na Sweden waliifanya. Na akawambia ulimwengu matokeo yake tumezalisha vyakuka mashambani yakiwemo mahindi yaliyo jaa kwenye maghala yetu kiasi cha kusukwa sukwa na kukosa soko. Na aiombe UN kupitia WFP kuja kuwaunganisha wakulima watanzania wanapo nunua mahindi ya kupeleka misaada kwa wenye uhitaji wa chakula. Hata hivyo hili kulisemea ingekuwa ngumu maana sifa ingeenda kwa aliyebatizwa jina la ushamba.
 
Kwa hiyo 2025 utamtupa Lisu kulee na kumpa kura Samia wa ccm na hatimae Ccm kuibuka mshindi na Lisu kugaragazwa kama alivyogaragazwa na Nyarandu kwenye kamati kuu?
Naona umeanza mipasho.huna hoja pita hivii [emoji117]
 
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........



C&P
 
Umejiona ulivyo mjinga?

Tanzania haijahathilika na mabadiliko ya Tabia nchi?

Zile nyumba, biashara na Masoko zilizomezwa na maji Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa na Ziwa Victoria unafikiri zimemezwa na nini Kama sio mabadiliko ya Tabia nchi?

Kwa iyo wale wananchi wanaopata tabu kule hawajaathiliwa na mabadiliko ya tabia nchi?

Au haulewi hata maana ya mabadiliko ya tabia nchi kilaza wewe?
We endelea kula kulala bure tu hapo kwa dada yako...

Umejaa mihemko..
Sasa endeleeni kuipraise COVID 19..na endeleeni pokea pesa. Ambazo tunajua mnazipiga na leteni tu chanjo...

Watakapo waletea Order ya kulock nchi tusitafutane.

See what is happening in UGANDA..

Tukutane baadae.
 
Unawezaje kujidharau na kuwadhaurisha unaowaongoza kwa kiwango hicho mbele ya macho ya walimwengu. Kaionesha dunia our approach towards corona pandemic was a bogus one. Asifikirie yeye ataonekana ni watofauti kwa vile kasema tumeamua kwenda na dunia inavyoenda kuhusu corona.

Alishindwa nini kuonesha agalau positive ingrediet moja ya kutofanya lockdown ambayo na Sweden waliifanya. Na akawambia ulimwengu matokeo yake tumezalisha vyakuka mashambani yakiwemo mahindi yaliyo jaa kwenye maghala yetu kiasi cha kusukwa sukwa na kukosa soko. Na aiombe UN kupitia WFP kuja kuwaunganisha wakulima watanzania wanapo nunua mahindi ya misaasa. Hata hivyo hili kulisemea ingekuwa ngumu maana sifa ingeenda kwa aliyebatizwa jina la ushamba.
Rudia tena
 
Vikao vya UN ni vizuri kwa wakuu kukutana na kutangaza nchi zao. Si vya kutatua jambo. Afrika imekuwa ikiomba kiti katika Baraza la Usalama kwa zaidi ya miongo miwili sasa! Hata jibu hakuna. Hivyo, msitarajie mengi.
 
wakati anahutubia kama hawa marais walikuwemo basi nihukumiwe - Biden, Xi Jinping, Emmanuel Macron, Vladimir Putin na Boris Johnson.
 
Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........



C&P
Toka nje hapo sasa hivi..chukua sample ya wa TZ watano tu... Waulize kipaumbele ambacho wanakitarajia toka kwa Mama kwa sasa ni nini!?? Ukipata hata mmoja atae taja 5 star hotel..au utalii..
Njoo hapa waambie Mods wanipe ban.
 
Toka nje hapo sasa hivi..chukua sample ya wa TZ watano tu... Waulize kipaumbele ambacho wanakitarajia toka kwa Mama kwa sasa ni nini!?? Ukipata hata mmoja atae taja 5 star hotel..au utalii..
Njoo hapa waambie Mods wanipe ban.

Sheria ya uwekezaji kama si jakosea na niko tayari kusahihishwa inasema muwekezaji lazima awe na mbia mwenza ambaye ni mzawa. Jiulize mbia wa hawa wawekezaji ni nani na kapatikana kwa utaratibu upi unaojulikana na ulio wazi. Ukikuta jina la hata mmachinga mmoja niambie.
 
Hongera mama,hii ni hatua njema kuelekea kuiunganisha nchi na jumuiya za kimataifa,tutoke kule tulipokuwa kwa last 5years
 
Hiyo 30% nani kaitoa wa kuaminiwa ukimuangalia usoni usiwe na shaka kuwa kweli hii ni tarakimu sahihi?
Last time nilisikia wamechanja watu 600,000. Thirty percent ya population ya Tanzania ni karibu 18,000,000/=. Wamefikisha huko wakati dose ilikuwa millioni moja?

Hii ni kwamba tunahitaji fedha kwa maendeleo ya nchi. Kwa hiyo hizo takwimu ni za kuwafurahisha watoaji hao ambao ndio waunda corona.

Kwa hiyo nimeelewa kwa nini hata hotuba ya mama ilikuwa ya jumla sana kumbe alijua hakuna wawtu wa kufuatilia.

Acha tupate fedha
 
Last time nilisikia wamechanja watu 600,000. Thirty percent ya population ya Tanzania ni karibu 18,000,000/=. Wamefikisha huko wakati dose ilikuwa millioni moja? ...
Kwa hiyo watoa fedha unafikiri ni wajinga hawezi kuelewa wanatapeliwa kwa takwimu. Umesha jua adhabu atakayo pewa anaye watapeli?

Sishangai mnapolilialia bila kutafuta na kujua sababu za kweli za mabalozi na mawakala wao kuhudhuria kesi ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom