Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

Mi nalia sana na mvalishaji wake, yaani avae hivyo hivyo na ushungi wake ila wamuweke kwenye mvao wa kuweka mwili upumue, uvaaji pia unaweza kukuongezea confidence
 
Hotuba nzuri sana, huwezi jua kama ni mara yake ya kwanza kuhutubia UN, anakitendea haki kiti alichokalia.
 
Wakati wa utawala wa awamu ya tano aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ndie alimuwakilisha Rais Magufuli kuhutubia baraza la Umoja wa mataifa.

Kiukweli hotuba ya Kabudi ilionyesha sovereignty yetu kama nchi na sera yetu ya Ujamaa na Kujitegemea.

Hotuba ya mama jana imekaa kiomba omba na kujitia huruma kama sio kujipendekeza kwa mzungu.
Mama anaturudisha sana nyuma.
 
Hivyo wanaume tutachagua Kabudi 2025 na wanawake wapambane na Kupata suluhu
 
Wakati wa utawala wa awamu ya tano aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ndie alimuwakilisha Rais Magufuli kuhutubia baraza la Umoja wa mataifa....
Tatizo la lako unafikiri kubweka na kushindana na ulimwengu ndio njia sahihi ya kuleta maendeleo.Huwezi fungua duka halafu ukaanza kuwatambia wateja kesho hawaji na duka unafunga
 
90% ya Hotuba yake amezungumzia issue ya COVID nadhani lengo apewe hela zaidi ili atumie kwenye issue ambazo sio za COVID.
 
Hotuba yote ni COVID 19 mwanzo mwisho. Mungu wa Mbinguni asaidie Taifa hili. Kutoka kuutangazia ulimwengu mzima kwamba tunamtegemea Mungu wa Mbinguni mpaka kwenda kulilialia UN. Na Mungu hatakaa kimya kuona hali hii inaendelea. Amelaaniwa yeye amtegemeaye mwanadamu.
 
Ulikua unataka azungumzie nini? Vipi lugha inapanda lakini maana mama katema yai la standard zake siyi kama yule msukuma angetutia aibu
Wewe mpumbavu tu umeona huko marais wote wameonge kingereza?
 
Back
Top Bottom