Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

Mabadiliko katika baraza la mawaziri ni jambo la kawaida na siyo hebu kufanyika nchini au penginepo pale Duniania. Yote hafanyika katika kuongeza uchapa kazi ,kuleta Damu na fikira mpya,kuendana na kasi ya kazi katika Eneo fulani.kwa hiyo hilo ni jambo la kawaida kabisa na siyo jambo la kushangaza hadi uje uanze kutukana matusi hapa kama Mwendawazimu au kichaa wa magonjwa ya akili.
 
Hii nchi Mama anaona kila mtu ana akili za kichawa chawa, tangu makamba akabidhiwe wizara wimbo ulikua ni kutengeneza mitambo ambayo haikufanyiwa maintainance (enzi za Hayati JPM) miaka mitatu baadae sababu bado ni ile ile??!!! Huo ni uongo buana
 
Nchi imemshinda
Nchi haijamshinda ndio maana unaona mambo yanakwenda vizuri na tunaendelea kupata mafanikio katika kila eneo.uchumi wetu unaendelea kufanya vizuri na maisha ya watanzania yanaendelea kuboreka kwa kila mwenye kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa.
 
Ametuliza nini sasa? Eti anatoa miezi sita wakati wote tunajua ndani ya miezi miwili ijayo mvua zinaanza. Mi wajinga tu watakipa matumaini hewa kuwa kuna kitu Tanesco wanafanya. Hakuna zaidi ya kusubiri mvua zirudi.
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.

Unakumbuka wakati umeme unakatika Mara Kwa Mara awamu hii hii JM akiwa waziri tuliambiwa ni " maintenance" nao wakasema JPM hakufanya hivyo, tukaamini tatizo litakua limepata dawa, inapokuja na porojo hizo hizo inakua ngumu kueleweka. Naona maneno tu yanabadilika, imefika mahali pamekua na utata kati ya mgao wa umeme na upungufu wa umeme bila kujali neno sahihi ni lipi, jambo Moja lisilohitaji mjadala mrefu no kwamba, mtaani hakuna UMEME.
 
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe nchi isingekuwa na wagonjwa wengi wa akili wenye kumsifia ili wapate teuzi
 
Alisema itachukua miaka mitano kazi ya kuweka sawa miundombinu ya umeme. Hilo umelisahau?
 
Uwe na subira ndani ya muda mfupi changamoto hii inakwenda kuisha ,ndio maana hata sasa mgao siyo mkali sana kutokana na kazi inayoendelea kufanywa na serikali yetu katika kuhakikisha kuwa inatumia vyanzo vingine kuzalisha umeme,.Hivyo kufanya shughuli mbalimbali zinazotegemea umeme zisiathirike sana. Rais wetu ina tambua changamoto ya umeme ndio maana leo amelieleza ukweli Taifa na mikakati ya serikali yetu katika kulimaliza Tatizo hili.
 
Unahisi inaweza kushawishi watu Kwa ujinga huu ulioandika? Ninyi ndomnafanya tuzidi kuichukia sirikali Kwa tetezi zenu zakilofa!!!
Mnasifia-sifia na kuweka vinamba ili mtafutwe mpewe vyeo utakaa sana chalii nakwanini usijiajiri!? Sasa hizo namba nani kakuomba?
 
Ukiwa na akili kuna vitu huwezi post maana hata ww utonekana hamanzo...
eti ukame ,,, mara umeme wa gas,,,
Sio kila jambo nilakuweka siasa...
 
Miezi sita si ndo tumeingia masika kabisa
 
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
Weka Ushahidi hapa kwamba Hayat Rais hakuwa anajua maana ya "Maintanance" na sio kuropoka tu.
Wewe je? unajua Maana ya Maintainance ni nini?

leta ushahidi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…