Milonji
Senior Member
- May 26, 2022
- 166
- 510
Hamuaminiki hata kidogo.Huo ndio ukweli ambapo changamoto ya umeme itabakia katika vitabu vya historia.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamuaminiki hata kidogo.Huo ndio ukweli ambapo changamoto ya umeme itabakia katika vitabu vya historia.
Mabadiliko katika baraza la mawaziri ni jambo la kawaida na siyo hebu kufanyika nchini au penginepo pale Duniania. Yote hafanyika katika kuongeza uchapa kazi ,kuleta Damu na fikira mpya,kuendana na kasi ya kazi katika Eneo fulani.kwa hiyo hilo ni jambo la kawaida kabisa na siyo jambo la kushangaza hadi uje uanze kutukana matusi hapa kama Mwendawazimu au kichaa wa magonjwa ya akili.Ume
Shetani ameandika ushetani kwa Watanzania. Joka la kijani. Mungu chukua shetani huyu haraka. Shetani kaleta ujinga kwa Watanzania. Kama ni mvua na ukarabati wa mitambo kwanini kamtoa waziri na mkurugenzi? Yamefilisi shirika na kuhujumu leo yanakuja na maneno mepesi. Aibu yako shetani wewe uliyelaaniwa na mwenyezi mungu.
Nchi haijamshinda ndio maana unaona mambo yanakwenda vizuri na tunaendelea kupata mafanikio katika kila eneo.uchumi wetu unaendelea kufanya vizuri na maisha ya watanzania yanaendelea kuboreka kwa kila mwenye kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa.Nchi imemshinda
Ametuliza nini sasa? Eti anatoa miezi sita wakati wote tunajua ndani ya miezi miwili ijayo mvua zinaanza. Mi wajinga tu watakipa matumaini hewa kuwa kuna kitu Tanesco wanafanya. Hakuna zaidi ya kusubiri mvua zirudi.Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati ya serikali yake kuimaliza. Ameliambia Taifa kuwa hali hiyo imetokana na serikali kufanya ukarabati na matengenezo ya mitambo ambayo ilikuwa haijafanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Hivyo serikali inalazimika kuzima mingine na kuwasha mingine ambayo inakuwa haitoshelezi umeme unaohitajika.
Lakini pia Amelieleza Taifa kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri uzalishaji wa umeme kutokana na nchi kukumbwa na ukame kwa baadhi ya maeneo na hivyo maji yanayohitajika katika mabwawa yetu kuwa pungufu.Hata hivyo ameelezea jitihada za serikali yake kumaliza changamoto hiyo ambayo itabakia historia katika Taifa letu baada ya miezi sita tu. Ambapo kwa sasa serikali inajitahidi kuongeza na kutumia vyanzo vingine vya umeme kama vile umeme wa gas na jua.
Naamini watanzania wenzangu sote ni mashahidi wa namna jua linavyowaka kwa kipindi hiki na namna maeneo mengi yanavyoendelea kuwa kame na kukauka maji .sote tunakubaliana na ukweli kuwa hata shughuli za uchumi zinazotegemea umeme zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kutokana na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wetu, unaotokana mazingira mazuri na sera nzuri za serikali yetu katika kuchochea ukuaji wa uchumi na Biashara.
Tuendelee kuwa wavumilivu katika miezi hiyo sita ambayo mh Rais na serikali yake wanaendelea kupambana kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme nchini ,lakini pia Tuendelee kumuomba Mungu atuletee mapema mvua zenye baraka zisizo na madhara zitakazo jaza mabwawa yetu.lakini pia tukumbuke pia mwakani bwawa la mwalimu Nyerere litaanza nalo uzalishaji wa umeme na hivyo kufanya Taifa kuwa na umeme wa kutosha na mwingine kuuza nje ya nchi kama vile kenya na nchi nyingine zenye uhitaji wa umeme.
Rais samia ni kiongozi mkweli sana ,Ni kiongozi ambaye anaendana na Baba wa Taifa Hayati mwalimu Nyerere ambaye alikuwa haoni haya kuusema ukweli kutwambia watanzania,kama ambavyo amewahi kutuambia kuwa Tufunge Mikanda. Huo ndio uongozi na huo ndio uungwana .Rais samia Hataki kuendesha serikali kwa udanganyifu na ulaghai wakati anajuwa mwisho wa siku ukweli hujitenga na uongo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Tafuta wa kumdanganya sio mimi.Huo ndio ukweli ambapo changamoto ya umeme itabakia katika vitabu vya historia.
mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.
Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe nchi isingekuwa na wagonjwa wengi wa akili wenye kumsifia ili wapate teuziKazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Alisema itachukua miaka mitano kazi ya kuweka sawa miundombinu ya umeme. Hilo umelisahau?Unakumbuka wakati umeme unakatika Mara Kwa Mara awamu hii hii JM akiwa waziri tuliambiwa ni " maintenance" nao wakasema JPM hakufanya hivyo, tukaamini tatizo litakua limepata dawa, inapokuja na porojo hizo hizo inakua ngumu kueleweka. Naona maneno tu yanabadilika, imefika mahali pamekua na utata kati ya mgao wa umeme na upungufu wa umeme bila kujali neno sahihi ni lipi, jambo Moja lisilohitaji mjadala mrefu no kwamba, mtaani hakuna UMEME.
Uwe na subira ndani ya muda mfupi changamoto hii inakwenda kuisha ,ndio maana hata sasa mgao siyo mkali sana kutokana na kazi inayoendelea kufanywa na serikali yetu katika kuhakikisha kuwa inatumia vyanzo vingine kuzalisha umeme,.Hivyo kufanya shughuli mbalimbali zinazotegemea umeme zisiathirike sana. Rais wetu ina tambua changamoto ya umeme ndio maana leo amelieleza ukweli Taifa na mikakati ya serikali yetu katika kulimaliza Tatizo hili.Unakumbuka wakati umeme unakatika Mara Kwa Mara awamu hii hii JM akiwa waziri tuliambiwa ni " maintenance" nao wakasema JPM hakufanya hivyo, tukaamini tatizo litakua limepata dawa, inapokuja na porojo hizo hizo inakua ngumu kueleweka. Naona maneno tu yanabadilika, imefika mahali pamekua na utata kati ya mgao wa umeme na upungufu wa umeme bila kujali neno sahihi ni lipi, jambo Moja lisilohitaji mjadala mrefu no kwamba, mtaani hakuna UMEME.
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani kama unavyofikiria wewe.Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe nchi isingekuwa na wagonjwa wengi wa akili wenye kumsifia ili wapate teuzi
Tutamwambia hospitali mpya anazojenga asisahau wadi za magonjwa ya akili.Mama Abdu angekuwa mzalendo kama wewe nchi isingekuwa na wagonjwa wengi wa akili wenye kumsifia ili wapate teuzi
Unahisi inaweza kushawishi watu Kwa ujinga huu ulioandika? Ninyi ndomnafanya tuzidi kuichukia sirikali Kwa tetezi zenu zakilofa!!!Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati ya serikali yake kuimaliza. Ameliambia Taifa kuwa hali hiyo imetokana na serikali kufanya ukarabati na matengenezo ya mitambo ambayo ilikuwa haijafanyiwa matengenezo kwa muda mrefu. Hivyo serikali inalazimika kuzima mingine na kuwasha mingine ambayo inakuwa haitoshelezi umeme unaohitajika.
Lakini pia Amelieleza Taifa kuwa mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri uzalishaji wa umeme kutokana na nchi kukumbwa na ukame kwa baadhi ya maeneo na hivyo maji yanayohitajika katika mabwawa yetu kuwa pungufu.Hata hivyo ameelezea jitihada za serikali yake kumaliza changamoto hiyo ambayo itabakia historia katika Taifa letu baada ya miezi sita tu. Ambapo kwa sasa serikali inajitahidi kuongeza na kutumia vyanzo vingine vya umeme kama vile umeme wa gas na jua.
Naamini watanzania wenzangu sote ni mashahidi wa namna jua linavyowaka kwa kipindi hiki na namna maeneo mengi yanavyoendelea kuwa kame na kukauka maji .sote tunakubaliana na ukweli kuwa hata shughuli za uchumi zinazotegemea umeme zimeongezeka kwa kiasi kikubwa sana kutokana na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wetu, unaotokana mazingira mazuri na sera nzuri za serikali yetu katika kuchochea ukuaji wa uchumi na Biashara.
Tuendelee kuwa wavumilivu katika miezi hiyo sita ambayo mh Rais na serikali yake wanaendelea kupambana kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme nchini ,lakini pia Tuendelee kumuomba Mungu atuletee mapema mvua zenye baraka zisizo na madhara zitakazo jaza mabwawa yetu.lakini pia tukumbuke pia mwakani bwawa la mwalimu Nyerere litaanza nalo uzalishaji wa umeme na hivyo kufanya Taifa kuwa na umeme wa kutosha na mwingine kuuza nje ya nchi kama vile kenya na nchi nyingine zenye uhitaji wa umeme.
Rais samia ni kiongozi mkweli sana ,Ni kiongozi ambaye anaendana na Baba wa Taifa Hayati mwalimu Nyerere ambaye alikuwa haoni haya kuusema ukweli kutwambia watanzania,kama ambavyo amewahi kutuambia kuwa Tufunge Mikanda. Huo ndio uongozi na huo ndio uungwana .Rais samia Hataki kuendesha serikali kwa udanganyifu na ulaghai wakati anajuwa mwisho wa siku ukweli hujitenga na uongo.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ukiwa na akili kuna vitu huwezi post maana hata ww utonekana hamanzo...Ndugu zangu Watanzania,

Namba unaweka kuwarahisishia wagawa vyeo kupata😅😅😅...Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani kama unavyofikiria wewe.
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani kama unavyofikiria wewe.
Weka Ushahidi hapa kwamba Hayat Rais hakuwa anajua maana ya "Maintanance" na sio kuropoka tu.mwendazake alikuwa hafahamu maana ya "maintanance" ni nini.