Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Lissu ni mtu mweye akili sana hasa kwenye nyaja ya sheria; ila alipoingia kwenye siasa, alitumia mlango mbaya sana uliokuwa unaongozwa na hasira, na hivyo akakosa element yoyote ya compromise, ambayo ni ya muhimu sana kwenye siasa. Akaendesha siasa za Ben Mtobwa: Ama zao ama zangu, which doesn't work. Namwonea huruma sana hasa kwa vile bado ana watoto wadogo wa kulea ambao sijui sasa hivi anawatunzaje; nimeona picha ya mtoto aliyochora ama kindergarten au elementary school, na huenda anawalipia kwa michango ya wenye huruma, ambayo inaweza kuwa na effect kwenye prestige yake. Alichokosea Lissu, Zitto na Mbowe ni kuwa ni vizuri siku zotekwenye siasa kuongea vizuri na aliyeshika mpini hata kama hamkubaliani kwenye sera; na kumkosoa kisera siyo lazima umtukane. Wakati wa Operation Thunderbelt ya kuokowa waisralei waliokuwa wameshikiliwa Entebbe, Waziri mkuu wa Israel pamoja na kiongozi wa upinzani walikubaliana hata kabla mada ile haijaenda kwenye bunge; waziri mkuu yule asingemuita kiongozi wa upinzani kuzungumza naye kama angekuwa anajua kuwa atakaidi tu na kutoa matusi
 

Ndio maana nikasema yale maelezo ni kwa mtazamo wangu, umeyaona hayo maneno?
Mie najua sitoshi, pili, siasa ni kitu sitafanya maishani, sitarajii kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.

Nasisitiza, kati ya hao wawili, hakuna vigezo vya kuwa na cheo hicho.

Aliyepo amewahi kukiri alitupiwa tu huko akajikuta magogoni.
 
De Clark wa South Africa alifany
 
Kazi gani? Huyu kilema kweli achukue nchi? Kama alishindwa Lowassa pamoja na mtandao wake wote aweze huyu vuvuzela!!??
Kilema!!?? Yule alokubeba tumboni kwa miezi 9 sio kilema!? Kukeketwa sio ukilema!?
 
Kwa maelezo yako hayo, ni vyema ukawasidia majirani na ndugu zako nao wawe na "purchasing power" kama wewe, hakika umaskini kwao utakuwa ni ndoto. Tofauti na hilo, tafakuri upya uwewe.
Mkuu,mwenye jukumu hilo kuhakikisha jirani za huyo jamaa hapo wanakuwa na nguvu ya manunuzi. Ndio maana ya Rais,kutengeneza mazingira ya kumfanya kila raia anakuwa na uwezo wa kununua.
 
naonyesha hasira kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kuvidharau ambayo Ni wadau muhimu Sana kwa mgombea uraisi kushika nchi hawaoni umuhimu wao kwake Kama mgombea !!
Hili sio lengo la.Vyombo vya Usalama....March ndio maana tunawaambia mpo madarakani kupitia policcm
 

Kwa nini unaharibu uzi!?
Mods please angalia huyu jamaa anavyochafua hapa.
 
Hili sio lengo la.Vyombo vya Usalama....March ndio maana tunawaambia mpo madarakani kupitia policcm
Kushika Dola Ni pamoja na kushika vyombo vya usalama Kama unaviponda huvishawishi viwe upande wako hujui siasa.azi ya mwanasiasa Ni kushawishi makundi yote katika jamii yawe upande wake
 
Kazi yako ni kulaumu vyombo vya dola na serikali nzima,Sasa unafikiri nani atakuacha ugombee urais wewe juha,unajifurahisha Sana na watu wako unaofanana nao ujinga. Yaani wewe ukiingia tu bongo,unakamatwa unafungukiwa kesi uthibitishe tuhuma ulizozitoa dhidi ya serikali kupitia vyombo vyake vya dola.
Umekwisha.
 
Mbona ametia Nia kinyonge hivyo? Hana matumaini?
 
.....,Tanzania imepiga hatua kiuchumi?Imepiga hatua kijamii!Yaani unajitoa ufahanu....
Pole sana,Mkuu. Naona umekwazika kwa kuambiwa ukweli.

Usipaniki, Tulizana, na uukubali kuambiwa ukweli juu ya madhaifu ya huyo unayemshabikia.

Mkuu, hauna haja ya kurusha povu kama yeye, jenga hoja tena uje na takwimu kuonyesha huo uchumi ulivyo sasa na muandalie takwimu nyingine namna atakavyoboresha uchumi fikirishi wakwake. Sasa kama ninyi wafuasi mkipelekwa pelekwa tu na mihemuko ya namna hii nyote mtaangukia pua katika kushawishi wananchi wawaunge mkono.

Tulizana, Mkuu.
 
,"..... Tulijengewa reli ya TAZARA na Wachina; na tulijengewa Kitivo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo kadhaa vya ufundi na Wajerumani Magharibi. Tuliletewa chakula cha njaa cha mahindi ya yanga na unga wa dona na Wamarekani na tulijengewa shule za sekondari za kilimo na Wakuba. Msingi wa diplomasia ya kimataifa uliowekwa na Baba wa Taifa uliendelezwa na warithi wake katika Ikulu yetu..... "
WAENDELEE KUTUJENGEA HADI LEO?
ULIANZA VIZURI, HAPO UMETOA KWENYE RELI.
 
hotuba ya lisu inashambulia mihimili yote mitatu ya serikali kashambulia mahakama,bunge na serikali kuwa yote mibovu inaingiliwa na serikali lakini hajaonyesha kivipi kabwabwaja tu hajatoa hata mfano mmoja oh vyombo vya usalama vinatumika vibaya kivipi hajaweka ushahidi wa vilivyotumika vibaya wa kuthibitisha kisha huyo kakurupuka kujitia anatoa solution kwa tuhuma hewa zisizo na ushahidi
 
Naamini maneno yako,hii sio bure
Alisema atakuja akisharuhusiwa na madaktari wake hakufanya hivyo,baadaye akasema kwamba akihakikishiwa usalama wake atakuja,naamini tayari kahakikishiwa usalama wake ndio maana kaamua kuja kugombea urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…