Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Nafarijika sasa kusikia saut ya matumain baada ya pambano kuu.
 
Huyu ndiye Rais ambaye nchi hii imemtafuta kwa miaka yote .
Uyu aliyesema Tanzania tutashtakiwa MIGA!!Uyu aliyekua akishawiahi wananchi wa jimbo lake wasichangie ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara!!! Uyu aliyesema Mwalimu Nyerere ni Dikteta!! Uyu aliye lamba viatu vya Lowasa!! Una maanisha Tanzania ilikua ikimsubiri yeye ili ipae? Chadema imeamua kuwa tusi wa Tanzania, basi wananchi tunasema Asante , tukutane kwenye sanduku la kura.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Daah Mhe. Lissu ni zawad kwa watanzania kutoka m/mungu... jamaa anajua kuongea na kupangilia namna ya kuwasilisha hoja...ndg watanzania wenzangu, October tumchagueni huyu mtu ..huyu Lissu ni mtu mwenye utu na anastahili kuwa rais wa nchi hii...2015 tufanye tulipotea lakini muda wa kurekebisha Mambo ni huu ...

Tusirudie makosa tena na tumuombe mungu atusamehe kwa yale maamuzi ya mwaka 2015 kwn tulidhani alivyo mahiri kujenga barabara tukadhani ndo hvyo hvyo ataijenga nchi kumbe la hasha...uchumi umedorola..uhuru wa vyombo vya habari umedolora.

Uhuru wa kujieleza umekufa...ushirikiano wa kimataifa umekufa na hd watanzania tunaonekana kituko kimataifa...jamani jamani jamani, October mwaga pombe , mwaga udikteta, mwaga kila baya la utawala kisha tumchagueni mhe.Lissu kwa maendeleo ya vizazi vijavyo..

Nadhani madhara ya kumchagua mkemia tumeyaona sasa ni zamu ya kuchagu sheria na utawala bora...karibu sana mhe.lissu nyumbani nadhani hata wana ccm wana imani na ww tena kuliko hata wana chadema... people's
 
Mimi na wana CCM wenzangu tumeamua kuihama CCM na tunaenda kujiunga CHADEMA maana tumegundua kuwa CHADEMA ni sehemu sahihi
Bwashee hivi hapa jukwani unafikiri pana watoto wadogo sana.?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Leo nimesikiliza hotuba yenye hadhi ya Rais
 
Hizo ndiyo sera?
Kweli kua uyaone
Na aliykimbila ubelgiji!
Any way rudi naona umehakikishiwa ilinzi wako kama ulivyotaka!
 
Uchaguzi huru na wa haki CCM mnang'oka madarakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…