Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

View attachment 1472025

BAADHI YA ALIYOYAONGEA:

- Naamini ninazo sifa zote shahiki za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

- Nikipewa nafasi hii na kuchaguliwa, sitolipiza visasi kwa yote yaliyofanywa na walionitangulia. Nitatafuta muafaka wa kitaifa

- Nikipewa nafasi ya kugombea urais na nikashinda, nitahakikisha mihimili ya Dola inakuwa huru

- Uamuzi wa Ndugai kunifutia ubunge haujaniondolea sifa za kuwa mgombea Urais. Aidha, sijawahi kuwa na mashtaka ya aina yoyote yanayoniondolea sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania

- Amesema akipata dhamana ya kuongoza, Serikali haitatumia Vyombo vya Dola dhidi ya Wapinzani na Wanahabari

- Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga kama tetemeko au #COVID19
Nafarijika sasa kusikia saut ya matumain baada ya pambano kuu.
 
Huyu ndiye Rais ambaye nchi hii imemtafuta kwa miaka yote .
Uyu aliyesema Tanzania tutashtakiwa MIGA!!Uyu aliyekua akishawiahi wananchi wa jimbo lake wasichangie ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara!!! Uyu aliyesema Mwalimu Nyerere ni Dikteta!! Uyu aliye lamba viatu vya Lowasa!! Una maanisha Tanzania ilikua ikimsubiri yeye ili ipae? Chadema imeamua kuwa tusi wa Tanzania, basi wananchi tunasema Asante , tukutane kwenye sanduku la kura.

Sent from my moto g(7) play using JamiiForums mobile app
 
Daah Mhe. Lissu ni zawad kwa watanzania kutoka m/mungu... jamaa anajua kuongea na kupangilia namna ya kuwasilisha hoja...ndg watanzania wenzangu, October tumchagueni huyu mtu ..huyu Lissu ni mtu mwenye utu na anastahili kuwa rais wa nchi hii...2015 tufanye tulipotea lakini muda wa kurekebisha Mambo ni huu ...

Tusirudie makosa tena na tumuombe mungu atusamehe kwa yale maamuzi ya mwaka 2015 kwn tulidhani alivyo mahiri kujenga barabara tukadhani ndo hvyo hvyo ataijenga nchi kumbe la hasha...uchumi umedorola..uhuru wa vyombo vya habari umedolora.

Uhuru wa kujieleza umekufa...ushirikiano wa kimataifa umekufa na hd watanzania tunaonekana kituko kimataifa...jamani jamani jamani, October mwaga pombe , mwaga udikteta, mwaga kila baya la utawala kisha tumchagueni mhe.Lissu kwa maendeleo ya vizazi vijavyo..

Nadhani madhara ya kumchagua mkemia tumeyaona sasa ni zamu ya kuchagu sheria na utawala bora...karibu sana mhe.lissu nyumbani nadhani hata wana ccm wana imani na ww tena kuliko hata wana chadema... people's
 
Mimi na wana CCM wenzangu tumeamua kuihama CCM na tunaenda kujiunga CHADEMA maana tumegundua kuwa CHADEMA ni sehemu sahihi
Bwashee hivi hapa jukwani unafikiri pana watoto wadogo sana.?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Daah mhe.Lissu ni zawad kwa watanzania kutoka m/mungu... jamaa anajua kuongea na kupangilia namna ya kuwasilisha hoja...ndg watanzania wenzangu, October tumchagueni huyu mtu ..huyu Lissu ni mtu mwenye utu na anastahili kuwa rais wa nchi hii...2015 tufanye tulipotea lkn muda wa kurekebisha Mambo ni huu...
Leo nimesikiliza hotuba yenye hadhi ya Rais
 
View attachment 1472025

BAADHI YA ALIYOYAONGEA:

- Naamini ninazo sifa zote shahiki za kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

- Nikipewa nafasi hii na kuchaguliwa, sitolipiza visasi kwa yote yaliyofanywa na walionitangulia. Nitatafuta muafaka wa kitaifa

- Nikipewa nafasi ya kugombea urais na nikashinda, nitahakikisha mihimili ya Dola inakuwa huru

- Uamuzi wa Ndugai kunifutia ubunge haujaniondolea sifa za kuwa mgombea Urais. Aidha, sijawahi kuwa na mashtaka ya aina yoyote yanayoniondolea sifa za kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania

- Amesema akipata dhamana ya kuongoza, Serikali haitatumia Vyombo vya Dola dhidi ya Wapinzani na Wanahabari

- Atakuwa mfariji Mkuu, hatakimbilia kijijini kwao wakati wa majanga kama tetemeko au #COVID19

Hizo ndiyo sera?
Kweli kua uyaone
Na aliykimbila ubelgiji!
Any way rudi naona umehakikishiwa ilinzi wako kama ulivyotaka!
 
Hakuna mwenye shida na huyo rais wa Facebook. Msitafute visingizio vya kijinga. Hakuna mwenye akili timamu atapoteza muda kufatilia huyo mropokaji. Akipata viewers 200 mkatambike wasipungue maana huenda wassikilize tena kwa pumba atazoroa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi huru na wa haki CCM mnang'oka madarakani!
 
Back
Top Bottom